Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

Hili eneo USA na wanae wa NATO wapo nyuma sana. Mrusi anaweza akapigana akiwa nyumbani kwake bila kupeleka ndege ,wanajeshi,au hata manowari kwenye nchi nyingine. Yule boya alipoteza pesa mingi kuweka makambi na manowari kila kona, hizo mbinu atawaweza mataifa utopolo ila akifika kwa wakina Putin hivyo vyote havina kazi
USA kila wakifurukuta kufanya majaribio ya kutengeneza makombora haya wanafeli...Yaani wamefeli mara tatu hadi wanakata tamaa..

Wakati huo huo Russia imesema leo pia imetumia makombora hayo ya haipasoniki kwa mara ya pili kushambulia stoo kubwa ya kijeshi ya mafuta na vilainishi huko Ukraine.

Ukraine imempatia Russia kiroho safi uwanja wa kivita wa kutestia mkombora yake mapya vitani

SmartSelect_20220319-195556_Chrome.jpg


SmartSelect_20220320-125309_Chrome.jpg


Screenshot_20220320-125505_Chrome.jpg
 
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787], Toka kipindi cha Napoleon wazungu walitamani kuingia Russia wakachemsha. Ndio Taifa ambalo halijawahi kushindwa vita ulaya na ndio Taifa lilipoteza watu wengi katika WWII, halafu wanatokea wazungu pori kutokea amerika ya kaskazini kuwajambisha. Hawa jamaa sio wa mchezo kabisa wazungu wekundu wajipange maana mrusi hana cha kupoteza.
Russia imewahi kupoteza Vita nyingi tu .. Soma history
 
PUTIN kuanza kutumia silaha nzito.....naanza kuhisi hii vita vita huenda ikavuka na.kuwa ni WW III...
Kwa vikwazo na mashinikizo .....wasiichojua ni kwa kwamba sasa PUTIN ni kama paka aliyebanwa chumbani
 
Wewe hujui kitu, vikwazo vinaitesa san Korea na Iran, mpaka leo wanaomba viondolewe.

Russia wamekubali kupoteza uchumi wao ili kulinda himaya yao kwa mtutu wa bunduki. Ni ufahari wa kimaskini.
kama IRAN ile ndio inateswa na vikwazo kwavile ilivyo
basi nikheri ukaishi IRAN inayoteseka kwavikwazo kuliko kuishi inji yeyote hapa AFRIKA
IRAN yenye vikwazo nibora mara trillion kuliko hvyo vitaifa vyetu UCHWARA hapa AFRIKA
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Mikombora haina mpinzani halafu mtu ujichanganye uone , kama hiko kibebeo cha kinzhal speed yake ni balaa . Ulaya nzima wanajiharishia.
 


Russia unleashes 'unstoppable' nuclear-capable hypersonic missile 'destroying Ukraine weapons depot'

Video captures the dramatic moment a Russian hypersonic missile destroys an ammunition depot in the west of Ukraine. The 'Kinzhal' - or Dagger weapon is "unstoppable" by current Western weapons. The video reportedly filmed from a military drone shows the moment a large Ukrainian ammunition depot in Ivano-Frankivsk was hit by a deadly Russian Kinzhal hypersonic missile. Russia's defense ministry said: “The Kinzhal aviation missile system with hypersonic aeroballistic missiles destroyed a large underground warehouse containing missiles and aviation ammunition in the village of Deliatyn in the Ivano-Frankivsk region."

Russia's Hypersonic Missiles Can't Be Seen on Radar

Hypersonic weapons such as Russia's 3M22 Zircon fly so fast and low -- at speeds of up to Mach 6 and at a low atmospheric-ballistic trajectory -- that they can penetrate traditional anti-missile defense systems.

The missile flies with an advanced fuel that the Russians say gives it a range of up to 1,000 kilometers. And it's so fast that the air pressure in front of the weapon forms a plasma cloud as it moves, absorbing radio waves and making it practically invisible to active radar systems.

U.S. Aegis missile interceptor systems require 8-10 seconds of reaction time to intercept incoming attacks. In those 8-10 seconds, the Russian Zircon missiles will already have traveled 20 kilometers, and the interceptor missiles do not fly fast enough to catch up


1647855564351.png


Russia Shows Off Its Latest Hypersonic Missile

1647855658410.png

1647855681300.png

1647855697691.png

1647855717066.png

1647855737955.png

1647855769748.png





First use of Russian Kinzhal Hypersonic Missile In Ukraine
 
Back
Top Bottom