Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.

Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na washirika wake.

Putin, Yesu na dini ya Roman catholic inakashfiwa na Waislam kibao lakini hajawahi kukemea wala kulaani hadharani namna hii, Putin ameteketeza makanisa na Wakristo kibao Mariupol Ukraine licha ya Papa kumuomba asifanye hivyo.

India ambayo zaidi ya 78.9% ni Hinduism, baada ya kumtusi mtume mohammad, Putin ameibuka haraka na kulaani. Najua amefanya hivyo ili kupata sapoti ya Waislam na nchi za Kiislamu ulimwenguni.

Putin anatafuta uungwaji mkono kwa kutumia dini, anaona ametengwa na dunia.

Baada ya kasoro hizi za kidiplomasia Kati ya Urusi na India zilizoanza kujitokeza, je soko la mafuta alilokusudia kulipata india hapo badae, baada ya nchi EU kutangaza Kuachana na gesi na mafuta yake halitaathiriwa?

Ikumbukwe msuguano huu baina ya India na UEA, ulianza mapema December 2021.

_________________

Nabii Muhammad: Putin atuma ujumbe kwa India baada ya kumtusi Mtume Mohammad

Mataifa ya kiarabu yamelaani vikali matamshi yenye utata yaliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India BJP Nupur Sharma kumuhusu Mtume Muhammad, kulingana na mitandao ya kijamii , na Rais wa Urusi Vladimir Putin pia ameelezea kutofurahishwa kwake na matamshi yenye utata kumuhusu Mtume Mohammad katika serikali ya India.

Kauli za Putin zimesambazwa sana katika mitandao ya kijamii nchini India pamoja na nchi za Kiarabu kwa kipindi cha saa 24 zilizopita baada ya Putin aliyeishauri India wakati wa mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari, alisema, "Matusi dhidi ya Mtume Mohammad ni ukiukaji wa uhuru wa dini na kuwakashifu Waislamu. "
Kauli za Bw Putin zimesambazwa pakubwa katika mitanda ya kijamii hususan Twitter, ambapo zimeshirikishwa zaidi ya mara 50,000 nchini India na katika Ulimwengu wa Kiarabu.

Nini alichosema awali Putin kuhusu Uislamu na Mtume Muhammad.

Kulingana na taarifa za vyombo vya habari, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari Disemba 23 mwaka jana, alisema taarifa kuhusu kibonzo tata cha Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

Alisema kuwa: "Sio sehemu ya sheri aya uhuru wa kuzungumza kwamba kila mmtu anafikiri anaweza kuelezea maoni yake vyovyote atakavyo."

"Matusi dhidi ya Mtume yanakiuka uhuru wa kuabudu na kukiuka hisia za Waislamu ," Putin alinukuliwa na Shirika la habari la Urusi TASS.

Rais Putin amesisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kusababisha ulipizaji kisasi wa makundi yenye itikati kali kama vile shambulio dhidi ya ofisi za gazeti la Charlie Hebdo mjini Paris baada ya kuchapisha vibonzo vilivyodaiwa kumdhalilisha Mtume Mohammad.

Aliwataka watu wa Urusi kuheshimu tamaduni na dini za kila mmoja wao, na kuongeza kuwa nchi yake ni "tofauti sana" na tofauti na maeneo mengine ya duniani.

Milki za Kiarabu (UAE), Oman, Indonesia, Iraq, Jordan, the Maldives, Bahraine, Libya na Bahrain ni miongoni mwa nchi zilizokokatika orodha ya Mataifa ya Kiarabu ambazo zimelaani kauli iliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala cha India.

Mapema, taarifa hiyo ililaaniwa na Kuwait, Iran na Qatar na kuwaita mabalozi wa India kuelezea hasira yao. Saudi Arabia pia ililaani taarifa hiyo Jumatatu wiki hii.

Wanadiplomasia wa India wamejaribu kutuliza hasira ya matataifa haya ya Kiarabu, kwani wana mahusiano ya kirafiki ya muda mrefu nan chi hizi - lakini juhudi zao zimeishia patupu.

Nupur Sharma,ambaye ni Msemaji rasmi wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP), alitoa kauli hizo kwenye mdahalo wa televisheni, na afisa mkuu wa habari wa chama hicho Naveen Jindal, akatuma kauli hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

Kauli hizi hususan za M Sharma - zimewaudhi hususan Waislamu ambao ni wachache nchini India, na kuibua maandamano katika maeneo mbali mbali katika baadhi ya majimbo.

Maafisa wawili walitoa taarifa ya kuomba msamaha na chama kikamsimamisha kazi kwa muda Sharmaa.

Chanzo BBC, Aljazeera, Reuters

Screenshot_20220608-132441_1.jpg
 
View attachment 2254268
Putin lazima awajibishwe kwa njia yeyote ile hata kama akitafuta huruma ya dini. Diplomasia yake na India ikilega lega, ndo hivyo mafuta yake atayanywa. Magharibi ni hatari sana, hapa wananfitinisha na India.

Hapa Warusi watakupinga ila kuna ukweli.
 
Putin ni dikteita uchwara tu, kwahiyo na yeye ameona asimame na Waislam anazani ndo atashinda vita hii, wakati ndo kwnz anajichimbia kaburi.
 
Putin lazima awajibishwe kwa njia yeyote ile hata kama akitafuta huruma ya dini. Diplomasia yake na India ikilega lega, ndo hivyo mafuta yake atayanywa. Magharibi ni hatari sana, hapa wananfitinisha na India.

Hapa Warusi watakupinga ila kuna ukweli.
Putin anajikuta mjanja sana, ameona katengwa, sasa amegeukia sympathy ya dini, na kwl ataipata ila haitamsaidia.
 
Kuna ubaya gani yeye kupinga kitu hiko ?
Hakuna ubaya, ila makosa ya kiufundi, kwa nini ameua Wakristo Mariupol, kwa RC wanapokashfiwa hajawahi kulaani, Najua amefanya ili mumuunge mkono, endeleeni Kumuunga Mkono, lakini ndo hivyo huenda India isinunue mafuta ya Urusi, kwhy atayala mwnyew au awauzie nyie UEA.
 
Inawezekana kabisa, maana hao jamaa kwa mtume uwambii kitu, hapa Putin kacheza nao kama Pele, yatajisomba yajipeleke huko yakauliwe na yenyewe
India huenda pia ikasusia mafuta yake, baada ya kutaka kuwafitinisha na UEA, India kwa sasa Waislam wameanza tena maandamano na fujo, kutokana na moto aliouchochea Putin.
 
Putin lazima awajibishwe kwa njia yeyote ile hata kama akitafuta huruma ya dini. Diplomasia yake na India ikilega lega, ndo hivyo mafuta yake atayanywa. Magharibi ni hatari sana, hapa wananfitinisha na India.

Hapa Warusi watakupinga ila kuna ukweli.
Pita hapa 😛ork joint upate portion moja ya roast
 
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.

Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na washirika wake.

Putin, Yesu na dini ya Roman catholic inakashfiwa na Waislam kibao lakini hajawahi kukemea wala kulaani hadharani namna hii, Putin ameteketeza makanisa na Wakristo kibao Mariupol Ukraine licha ya Papa kumuomba asifanye hivyo.

India ambayo zaidi ya 78.9% ni Hinduism, baada ya kumtusi mtume mohammad, Putin ameibuka haraka na kulaani. Najua amefanya hivyo ili kupata sapoti ya Waislam na nchi za Kiislamu ulimwenguni.

Putin anatafuta uungwaji mkono kwa kutumia dini, anaona ametengwa na dunia.

Baada ya kasoro hizi za kidiplomasia Kati ya Urusi na India zilizoanza kujitokeza, je soko la mafuta alilokusudia kulipata india hapo badae, baada ya nchi EU kutangaza Kuachana na gesi na mafuta yake halitaathiriwa?

Ikumbukwe msuguano huu baina ya India na UEA, ulianza mapema December 2021.
_________________

Nabii Muhammad: Putin atuma ujumbe kwa India baada ya kumtusi Mtume Mohammad

Mataifa ya kiarabu yamelaani vikali matamshi yenye utata yaliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India BJP Nupur Sharma kumuhusu Mtume Muhammad, kulingana na mitandao ya kijamii , na Rais wa Urusi Vladimir Putin pia ameelezea kutofurahishwa kwake na matamshi yenye utata kumuhusu Mtume Mohammad katika serikali ya India.

Kauli za Putin zimesambazwa sana katika mitandao ya kijamii nchini India pamoja na nchi za Kiarabu kwa kipindi cha saa 24 zilizopita baada ya Putin aliyeishauri India wakati wa mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari, alisema, "Matusi dhidi ya Mtume Mohammad ni ukiukaji wa uhuru wa dini na kuwakashifu Waislamu. "

Kauli za Bw Putin zimesambazwa pakubwa katika mitanda ya kijamii hususan Twitter, ambapo zimeshirikishwa zaidi ya mara 50,000 nchini India na katika Ulimwengu wa Kiarabu.

Nini alichosema awali Putin kuhusu Uislamu na Mtume Muhammad.

Kulingana na taarifa za vyombo vya habari, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari Disemba 23 mwaka jana, alisema taarifa kuhusu kibonzo tata cha Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

Alisema kuwa: "Sio sehemu ya sheri aya uhuru wa kuzungumza kwamba kila mmtu anafikiri anaweza kuelezea maoni yake vyovyote atakavyo."

"Matusi dhidi ya Mtume yanakiuka uhuru wa kuabudu na kukiuka hisia za Waislamu ," Putin alinukuliwa na Shirika la habari la Urusi TASS.
Rais Putin amesisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kusababisha ulipizaji kisasi wa makundi yenye itikati kali kama vile shambulio dhidi ya ofisi za gazeti la Charlie Hebdo mjini Paris baada ya kuchapisha vibonzo vilivyodaiwa kumdhalilisha Mtume Mohammad.
Aliwataka watu wa Urusi kuheshimu tamaduni na dini za kila mmoja wao, na kuongeza kuwa nchi yake ni "tofauti sana" na tofauti na maeneo mengine ya duniani.

Milki za Kiarabu (UAE), Oman, Indonesia, Iraq, Jordan, the Maldives, Bahraine, Libya na Bahrain ni miongoni mwa nchi zilizokokatika orodha ya Mataifa ya Kiarabu ambazo zimelaani kauli iliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala cha India.

Mapema, taarifa hiyo ililaaniwa na Kuwait, Iran na Qatar na kuwaita mabalozi wa India kuelezea hasira yao. Saudi Arabia pia ililaani taarifa hiyo Jumatatu wiki hii.

Wanadiplomasia wa India wamejaribu kutuliza hasira ya matataifa haya ya Kiarabu, kwani wana mahusiano ya kirafiki ya muda mrefu nan chi hizi - lakini juhudi zao zimeishia patupu.

Nupur Sharma,ambaye ni Msemaji rasmi wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP), alitoa kauli hizo kwenye mdahalo wa televisheni, na afisa mkuu wa habari wa chama hicho Naveen Jindal, akatuma kauli hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

Kauli hizi hususan za M Sharma - zimewaudhi hususan Waislamu ambao ni wachache nchini India, na kuibua maandamano katika maeneo mbali mbali katika baadhi ya majimbo.

Maafisa wawili walitoa taarifa ya kuomba msamaha na chama kikamsimamisha kazi kwa muda Sharmaa.

Chanzo BBC, Aljazeera, Reuters

View attachment 2254268

Putini nadhan lengo lake ni kutafuta uungwaji mkono kutoka matiafa ya kiislamu na lengo lake hasa ni kiuchumi ili kuipiku Marekani ambayo kwa kiasi kubwa wamewekeza nchi nyingi zikiwemo nchi za kiislamu tena kwa muda mrefu.

Hii kwa sisi waislamu tunaita ni unafiki, kwamba unaonyesha kuumia kwa tunayofanyiwa waislamu juu ya dini yetu na Mtume wetu Muhammad S.A.W lakini unashindwa kutamka shahada na wewe kuwa Muislam ili kaweza kujipambanua kwa uzuri zaidi na kueleweka kwa dola za kiislamu

Putini anachukia tunayofanyiwa waislam lakini amesahau kwamba yeye ametoa amri na jeshi lake kwenda kuvamia na kuuwa watu wasio na hatia kule Ukraine haijalishi kwamba ni waislam au si waislamu kwa sababu dini yetu imekataza kuua labda kwa haki.

Na Marekani nao wanafanya hayo hayo mauaji kwa nchi za kisslam kuua watu wala siwezi kumtetea kwa hili., lakini ifike mahali unafiki kama huu usikubalike kwa dola za kiislamu kutumiliwa na hawa watu wenye mila za kitwaghuuti.
 
India wanasupport Russia ndio but wanasahau kuna warusi na walokua wanachama wa Soviet waislam wengi pia unafikiri wanafurahia hii,India wamelikoroga wapambane na hali yao huko,kwanza wabaguzi sana hawa watu wakwende huko,ukitaka kujua kwamba hawa watu wanamatatizo ya akili ingia kwenye page za urusi RT telegram uone kazi yao kubwa kuingiza mada za kukashifu dini za wengine Hata kama post hazihusiani full kutukana sio wakiristo,sio jew,sio waislam mpaka unashangaa au mavi na mikojo ya ng’ombe yamewaharibu akili,huko kwao wanaua hadi wenzao kisa dini!
 
Back
Top Bottom