Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

Usishangae Al shabab,Boko Haram,al queda,Hizibollah wakitangaza kwenda UKRAINE kumwunga mkono Putin!
Hao wanachoweza ni kujilipua tu kwenye kadamnasi kama masoko hawana ujuzi wa vita vya kisasa hata wakienda huko watafanya nini maana watu wamesambaa,sanasana watapukutishwa wote na Snipers
 
Ndio akili zako za kufikiri zimeishia hapo?

Wachina wanaoshirikiana na Urusi ni waislamu? Nijibu we giningi wa upareni

Wahindi na India yote dini Yao ni Uhindu na vimbwanga vingine, waislamu Wana kadiliwa kuwa 200 Milioni kati ya watu 1.3billioni yaani kifupi waislamu ni 15.38% ya watu,
Je wenyewe ni waislamu?

Nchi nyingi za Afrika zinasupoti anachofanya Mrusi, je ni nchi za kiislamu?

Mexico, Venezuela,Nicaragua, Cuba na Colombia zimejaza waislamu ndio maana wanamuunga Putin?

Central Africa Republic nayo ni Jamhuri ya kiislamu?

Kweli ukisikia baba ameuza ng'ombe mnadani ili aipeleke ng'ombe ingine shule[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] shubaamiti
 
Kauli zipi sasa??
 
Putin lazima awajibishwe kwa njia yeyote ile hata kama akitafuta huruma ya dini. Diplomasia yake na India ikilega lega, ndo hivyo mafuta yake atayanywa. Magharibi ni hatari sana, hapa wananfitinisha na India.

Hapa Warusi watakupinga ila kuna ukweli.
Wagalatia mnauchukia uislam sana, go on Putin.
 
Sehemu kubwa ya Urusi yanakotoka mafuta ni sehemu inayokaliwa na Waislam,sehemu inayoitwa Chechnia..

Tutake,tusitake Mungu kawapa utajiri wa Raslimali ya Mafuta Waislam dunia nzima,

Mtwara,Pemba ya Tanzania,Pemba ya Msumbiji,Nigeria sehemu zenye mafuta ni sehemu wanazokaa Waislam,Bornei,Falme za Kiarabu,Oman,..nk

Hali ya kuwa kila kwenye mafuta ni sehemu ya Waislam aliiona muingereza mmoja anaitwa Green, kitu hicho kilimfanya Mr Green kuukubali Uislam

Wanajeshi wa Kirusi wenye asili ya Kichechnia,ambao ni Waislam wako bega kwa bega mstari wa mbele kwenye vita vya Ukraine..

Kwasababu hiyo Putin lazima ausimamie Uislam
 
Takataka kabisa
Hapo kwenye utatu mtakatifu chenga sana. Yahani kuna baba, mwana na roho. Alafu tunapigwa kwa kuambiwa hao wote watatu ni mtu mmoja. Ukiuliza mwana ni nani unaambiwa ni Yesu. Ukiuliza kwahiyo Yesu ndiye mingu mwenyewe? Hapo itabidi dini ichanganyike na siasa kwa stori utakazopigwa
 
India huenda pia ikasusia mafuta yake, baada ya kutaka kuwafitinisha na UEA, India kwa sasa Waislam wameanza tena maandamano na fujo, kutokana na moto aliouchochea Putin.
Mafuta ya urusi siyo hisani jomba ....india inalilia kununua mafuta ya urusi usiku na mchana na inatamani vita isiishe ...tena india ikisusia mafuta ya urussi kwa sababu hiyo ndiyo itathibitisha kuwa serikali ya india ipo nyuma ya hiyo kashifa tena kama ulikuwa ujui serikali ya india yenyewe ndiyo ilikuwa ya kwanza kulaani hayo maneno wa waziri wake hivyo urusi kaunga tu mkono ssrikali ya india
 
Ni kheri ukamtusi mungu wao allah kuliko ile njemba ambayo hata shule haikuwa nayo.
Hats off to Hindus
 
Ndo ashatukanwa sasa mtafanya kile qoran imewaamrisha?
Jaribuni wahindu wawatoe marinda
 
Putin kwanza piga Gaykrania hao,hayo mengine baadae
Nalog off Z
 
Putin hajakosea.. wala hajajipendekeza kwasababu ni kweli ao waindia wamekosea.. lazima kuwe na uvumilivu wa kidini ili kujenga jamii yenye umoja.

Putin ni mkristo mzuri tuu.. kitendo cha kutetea uislam sio kwamba anajipendekeza hivyo ndivyo inatakiwa kuwa.. kama mataifa mengine hayajakemea yatakuwa yamekosea.

View attachment 2254816View attachment 2254817View attachment 2254815
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…