Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

Termux

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
429
Reaction score
1,031


Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa.

Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia. Msaada wenu wadau kuwafahamu hawa wengine na sifa zao
 
#Putin boss wa FSB
Dmitry Utkin boss wa WAGNER PMC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…