4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hahahaaaaBORA KULA TUNDA KIMASIHALA KULIKO HUU UJINGA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaBORA KULA TUNDA KIMASIHALA KULIKO HUU UJINGA.
hahahaaaaNiliposoma comment yako unamshangaa MK254 kuwa anajuaje data za Jeshi la Russia nikadhani wewe umeamua kusimama kati,nakuja kusoma hii comment nakutana na wewe umekuwa mjuzi wa kujua udhaifu wa jeshi la NATO[emoji3],Kumbe hupendi kusikia Russia akikosolewa ila wewe ndiyo una siri zote za udhaifu wa NATO,nimalizie kwa kukuuliza,hivi upo kweli Tanzania au upo ndani ya NATO ukianalyze mapungufu ya jeshi lao [emoji846]
Unajua mwaka 1908 Japani ilizamisha meli zote za Russia na kusababisha mapinduzi Russia. Vita kuu ya pili mtu aliyebadilisha upepo ni USA vinginevyo Ulaya yote ingekuwa inaongea lugha mbili Kijerumani na Italian na Asia yote ingekuwa inaongea KijapaniHuyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
hahahahaaa mtu mbili au sio ?Kwa kila kitu, watu hawataki tu show off, mjapan ukimuweka na Mrusi, tukaweka hizo nuclear pembeni, Russia anapigika vizuri tu.
wanaume wa dar sio ?Masaa 72 hadi miezi mitatu inaenda kumalizika bado kuna stalemate.
Ile USSR ndio ilikuwa kiboko lakini sio hawa wanaoogopa wapigana kwenye mvua eti mvua akianza kunyesha wanasema hawawezi kupigana hadi ikatike matokeo yake zana zote zinateketezwa.
Sasa vita kamili vizuke mara ngapi? Kama Putin keshapanic hadi kutishia kutumia Nyuklia,najua ni ngumu sana kuukubali uhalisia kuwa pale Ukraine mambo hayajaenda kama mlivyotarajia Pro Putin,hapa mnajaribu kutafuta justification ya kwanini mambo yamekwenda mrama,ndiyo mnakuja na hizo sababu za 'anazingatia ubinadamu, au hii ni 'special operation' tu.Kwani ujasikia kuwa urusi imezuia kuwaua waukraine walio zingirwa ,je unafikili ingekuwa ni marekani kawazingira magaidi angefanya huo wema? Wewe omba tu vita kamili vizuke visivyo heshimu haki za binadamu ndiyo utajua URUSI NI NANI ?
Umesema mwaka gani vile? Na leo ni mwaka gani? Japan wa leo sio wa kipindi kile. Tukianza zungumzia historia tukirudi nyuma kabisa US lilikuwa koroni la mwingereza 😀Unajua mwaka 1908 Japani ilizamisha meli zote za Russia na kusababisha mapinduzi Russia. Vita kuu ya pili mtu aliyebadilisha upepo ni USA vinginevyo Ulaya yote ingekuwa inaongea lugha mbili Kijerumani na Italian na Asia yote ingekuwa inaongea Kijapani
Je urussi ikimpatia kiduku mabomu 800 ya nuclear unafikili nini kama nato awajaomba poo na USA [emoji631]Sasa vita kamili vizuke mara ngapi? Kama Putin keshapanic hadi kutishia kutumia Nyuklia,najua ni ngumu sana kuukubali uhalisia kuwa pale Ukraine mambo hayajaenda kama mlivyotarajia Pro Putin,hapa mnajaribu kutafuta justification ya kwanini mambo yamekwenda mrama,ndiyo mnakuja na hizo sababu za 'anazingatia ubinadamu, au hii ni 'special operation' tu.
Wishful thinking [emoji846]Je urussi ikimpatia kiduku mabomu 800 ya nuclear unafikili nini kama nato awajaomba poo na USA [emoji631]
Mkuu toa hiyo 'i'Wishiful thinking [emoji846]
Asante sana [emoji5]Mkuu toa hiyo 'i'
Inaaminika US alimwaga Atomic Bomb Hiroshima na Nagasaki ili kutuma Ujumbe kwa watu wa Mataifa kuwa anayo Silaha kuu yenye Uwezo wa kuharibu Taifa lolote.. Na akafanikiwa kuogopwa na kuwa Super Power..Narudia tena kukwambia kuwa Japan huyu wa baada ya vita ya pili ya dunia siyo Japan wa enzi zile.
Huyu kafungwa speed governor hata hatengenezi silaha za maana kwa ahadi ya kulindwa na US. Japan wa vita ya pili ya dunia alikuwa wa moto hata US alichezea sana na alikuwa hasalimu amri mpaka alipopigwa ma atomic, japo taarifa ni kwamba alikuwa ashaamua kusurrender na US alikuwa tayari ana taarifa ila kwakuwa US ni vichaa bado wakadondosha nukes.
Huyu Japan wa sasa hata mchina anamwogopesha
Anaweza asiweze lakini anaweza kuicha Dunia ikiwa na hali mbaya sana.Huyo Putin mnaamini anaweza akapigana na dunia yote na kushinda. Mapenzi haya.