Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

hahahaaaa
 
Unajua mwaka 1908 Japani ilizamisha meli zote za Russia na kusababisha mapinduzi Russia. Vita kuu ya pili mtu aliyebadilisha upepo ni USA vinginevyo Ulaya yote ingekuwa inaongea lugha mbili Kijerumani na Italian na Asia yote ingekuwa inaongea Kijapani
 
Kwa kila kitu, watu hawataki tu show off, mjapan ukimuweka na Mrusi, tukaweka hizo nuclear pembeni, Russia anapigika vizuri tu.
hahahahaaa mtu mbili au sio ?
 
Masaa 72 hadi miezi mitatu inaenda kumalizika bado kuna stalemate.

Ile USSR ndio ilikuwa kiboko lakini sio hawa wanaoogopa wapigana kwenye mvua eti mvua akianza kunyesha wanasema hawawezi kupigana hadi ikatike matokeo yake zana zote zinateketezwa.
wanaume wa dar sio ?
 
Kwani ujasikia kuwa urusi imezuia kuwaua waukraine walio zingirwa ,je unafikili ingekuwa ni marekani kawazingira magaidi angefanya huo wema? Wewe omba tu vita kamili vizuke visivyo heshimu haki za binadamu ndiyo utajua URUSI NI NANI ?
Sasa vita kamili vizuke mara ngapi? Kama Putin keshapanic hadi kutishia kutumia Nyuklia,najua ni ngumu sana kuukubali uhalisia kuwa pale Ukraine mambo hayajaenda kama mlivyotarajia Pro Putin,hapa mnajaribu kutafuta justification ya kwanini mambo yamekwenda mrama,ndiyo mnakuja na hizo sababu za 'anazingatia ubinadamu, au hii ni 'special operation' tu.
 
Umesema mwaka gani vile? Na leo ni mwaka gani? Japan wa leo sio wa kipindi kile. Tukianza zungumzia historia tukirudi nyuma kabisa US lilikuwa koroni la mwingereza 😀
 
Je urussi ikimpatia kiduku mabomu 800 ya nuclear unafikili nini kama nato awajaomba poo na USA [emoji631]
 
Inaaminika US alimwaga Atomic Bomb Hiroshima na Nagasaki ili kutuma Ujumbe kwa watu wa Mataifa kuwa anayo Silaha kuu yenye Uwezo wa kuharibu Taifa lolote.. Na akafanikiwa kuogopwa na kuwa Super Power..

Ila Mataifa nao hawakubaki usingizini, wakaanza kuunda na wao Mabomu yao ili kujilinda. Matokeo yake ndiyo haya ya kutishiana na Manyuklia Daily..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…