Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa Gorbachev na hafichi au kujionyesha kama kaguswa wakati ni unafiki mtupu, nimeipenda sana, kama humpendi mtu kuwa mkweli.
Gorbachev 1931-2022!
Gorbachev 1931-2022!