Akili hizi zinafanana zile za mwendazake...Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lkn you don’t mean it, Raisi wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha raisi wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa Gorbachev na hafichi au kujionyesha kama kaguswa wakati ni unafiki mtupu, nimeipenda sana, kama humpendi mtu kuwa mkweli.
Gorbachev 1931-2022!
View attachment 2342098
Huwa anamwona Mikael kama msaliti aliyeipunguzia Urusi makali.
Kuvunjika kwa USSR.Russia ilipoteza nchi iliyokuwa nazo USSR.Makali ya nini?