Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo.

Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo.

Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku chache baada ya maofisa wa Marekani kunukuliwa wakisema kuwa faida ya kuuza nishati kwa Urusi imepanda kuliko wakati mwingine wote licha ya vikwazo ilivyowekewa Urusi kutokana na vita dhidi ya Ukraine inayoendelea.

=========

Putin: West unlikely to reject Russian energy for years

Russian President Vladimir Putin says the West will not be able to cut itself off from Russian oil and gas for several years.

He added that nobody knows what might happen in that time, so Russian companies would not be "concreting over their oil-wells".

It comes as a US official admitted that Russian profits on energy may be higher now than they were before the war.

The EU currently imports around 40% of its gas from Russia.

The bloc has pledged to reduce its dependency on Russian oil by 90% by the end of 2022, but so far has not made any commitments on gas.

The US has placed an embargo on all Russian energy products. The restrictions on Russian energy are designed to punish Moscow for invading Ukraine.

But rising global oil and gas prices mean that Russian profits could have risen in recent months, despite a reduction in the overall supply.

"The volume of oil is decreasing on the world market, prices are rising," President Putin told a group of young entrepreneurs.

"Company profits are rising," he added.

That idea was echoed on Thursday by US energy security envoy Amos Hochstein.

Asked at a Senate hearing if Russia could be earning more now from fossil fuels than it was before the war, Mr Hochman replied "I can't deny that".

The Russian president was speaking on Thursday after attending an exhibition in Moscow dedicated to the 350th anniversary of the birth of Russian monarch Peter the Great.

The 18th Century ruler fought a long territorial war against Sweden, which Putin appeared to compare to his invasion of Ukraine.

"You get the impression that by fighting Sweden he was grabbing something. He wasn't taking anything, he was taking it back," he told his young audience.

"It is our responsibility also to take back and strengthen," he said, in an apparent reference to Ukraine.
 
La hasha, itaweza kuchukua miaka mingi pamoja na vita za wenyewe kwa wenyewe(nchi za ulaya) kufikia malengo/matakwa ya vipingamizi/vikwazo ambavyo nchi zao hazijaasisi kuwa na mshiko.

Inaonekana/kunasikika uwepo wa misiguano, mfano mzuri ni Wajerumani ambao tayari wameshapoteza mabilioni ya Dola katika miuondombinu waliyowekeza.

Mtakumbuka baadhi ya wajerumani walikuwa wakipinga vikwazo hivyo-Wamerakani ambao ndio waasisi wakuu wa vikwazo hivyo kwa sasa, inawezekana iwabidi watoe kama karuzuku fulani-kuzima upinzani unaotoka kwa wale ambao walikuwa wanagwaya kuadhimia vikwazo hivyo.

Taarifa hizi zinapatikana kwa udadisi wa siasa za kanda za Ulaya.

Comrade Putin alilijua hili, na yupo sahihi. Dunia iombe yasitokee mabadiliko makubwa zaidi ya Viongozi wenye mrengo wa Kulia kushika hatamu kwenye nchi mbalimbali Ulaya na Marekani kwani ubashiri wa Comrade utakuwa kweli tena kwa haraka zaidi.

Amani iwafikie.
 
wewe endelea kubaki na mafuta yako.
Maisha yao waachie.
ukiona x anakusema sema
Ujue bado anakukubali bado
 
Back
Top Bottom