We unaona kuna uwiano sawa wa nguvu!?Sasa kama North Korie anamsaidia bob Putin ni dhambi ila manchi kibao au nyeto wote wakimsuport ukrainia ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaona kuna uwiano sawa wa nguvu!?Sasa kama North Korie anamsaidia bob Putin ni dhambi ila manchi kibao au nyeto wote wakimsuport ukrainia ni kosa?
Hivi Ukraine mnaichukulia poa sana eenh.? Ile nchi sio under dog hata kidogo kwa kifupi ilikua vizuri sana kijeshi kabla haijaelemewaWe unaona kuna uwiano sawa wa nguvu!?
Ukraine sio ya kuifananisha na Russia.Hivi Ukraine mnaichukulia poa sana eenh.? Ile nchi sio under dog hata kidogo kwa kifupi ilikua vizuri sana kijeshi kabla haijaelemewa
Nchi gani Israel anapigana nazo embu zitaje??Halafu huyu ndie apigane na USA NATO? Mwenzie Israel anapigana na Nchi karibu 4 kwa wakati mmoja
Hamas , Hizbollah sio nchi tuongelee Lebanon iko dhofli haina hata ndege moja ya kivitaNani huyo na ni nchi zipi hizo?
Kwani Urusi kwa nini asitumie Nyuklia kuwabomoa hao NATO na majeshi ya US wanao sumbua hadi leo!!? Majeshi ya Ukraine yameshaisha kitambo tu, hao wanaosumbua ni NATO na US ARMY, hao ni Nyuklia tu Mr Putin.Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na Donetsk mnamo tarehe 3 Oktoba.
Hii inakuja wakati ambapo mahusiano kati ya Pyongyang na Moscow yanazidi kuimarika. Korea Kaskazini imekanusha tuhuma za kusambaza silaha kwa vikosi vya Urusi vinavyopigana katika uvamizi wa Ukraine.
Kim alisema, "Tunaamini kuwa kuna uwezekano wa kuwa na majeruhi miongoni mwa maafisa na wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Ukraine, kutokana na sababu mbalimbali," na kuongeza kuwa Seoul inatarajia Pyongyang itatuma zaidi ya wanajeshi kusaidia juhudi za vita za Urusi.
Souce: Aljazeera
Urusi huwa hakubali hizi taarifa, hata alipoambiwa anatumia mercenaries alikataa. Ila kwa India tu tuliona namna Serikali ya India iliingilia kati na kufanikiwa kuwarudisha raia wake waliokua wanapigana upande wa Urusi.Claims about North Korean soldiers ‘a hoax’ – Kremlin
Seoul had previously warned that Pyongyang could send its regular military to Ukraine to fight for Moscow
Claims about North Korean soldiers ‘a hoax’ – Kremlin
FILE PHOTO. North Korean soldiers during military parade in Pyongyang © Ilya Pitalev; RIA Novosti
Reports that North Korean military personnel are fighting alongside Russian forces in the Ukraine conflict are untrue, Kremlin spokesman Dmitry Peskov told journalists on Thursday.
South Korean Defense Minister Kim Yong-hyun claimed during a parliamentary session earlier this week that Pyongyang could send its forces to fight for Russia after it signed a mutual security treaty with Moscow. He claimed such a deployment is “highly likely” and suggested that some North Korean soldiers may have already been killed in the Ukraine conflict.
“This looks like another hoax,” Peskov replied when asked to comment on Seoul’s allegations during a press briefing.
Source RT
Jeshi lipo tofauti na nyinyi jinsi mnavyodhani.Urusi huwa hakubali hizi taarifa, hata alipoambiwa anatumia mercenaries alikataa. Ila kwa India tu tuliona namna Serikali ya India iliingilia kati na kufanikiwa kuwarudisha raia wake waliokua wanapigana upande wa Urusi.
Na wale wanajeshi wa Marekani zaidi ya 1k walienda kufanya nini huko Israel!?Halafu huyu ndie apigane na USA NATO? Mwenzie Israel anapigana na Nchi karibu 4 kwa wakati mmoja
Acha utoto. Hata Israel inasaidiwa na USA, France, UK kwenye kuzuia mabomu ya Iran na hata kushambulia Houthi, Iran Proxies huko Syria na Iraq n.kHalafu huyu ndie apigane na USA NATO? Mwenzie Israel anapigana na Nchi karibu 4 kwa wakati mmoja
Wewe itakua ni kichaa mpya!Quuumamaee zake Allah na Muhammad
Alinusurika kupunyuliwa sikio asee