The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sasa wewe hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui,utaweza kujadili mambo mazito kama haya?Jambazi put-in na kichaa Kim Jo wanakutana kujadiri namna ya kuvaa vinyago
Naona wameipiga Block wamarekani ili tusiweze kuona live.nikajua ni live niwatazame Webabe wa ulimwengu
Je, ya Xi na Putin ?Nafikiri hii ndo meeting bora ya Mwaka 2023
Kilichotokea Sevastopol ni balaa.
Mzee nadhani upo na mtindio wa ubongo. Hapa tunaongelea jambo jingine kabisa. Hii ni dalili za wewe kuwa mwehu.Putin ana hali mbaya sana, drone za Iran hazijafua dafu sasa anakimbilia kwa Kiduku.
Kwahiyo kwa akili Yako ndogo unahisi kinachoongelewa hapo ni kitu Gani?Mzee nadhani upo na mtindio wa ubongo. Hapa tunaongelea jambo jingine kabisa. Hii ni dalili za wewe kuwa mwehu.
Atakuwa kashafikishiwa ujumbe kwamba Ukraine wamepiga meli ya kijeshi.
HakikaJambazi put-in na kichaa Kim Jo wanakutana kujadiri namna ya kuvaa vinyago
Burundi ni bora kuliko Korea ya Kidukunikajua ni live niwatazame Webabe wa ulimwengu
Kiduku wa Korea Kaskazini na Putin ni madikteta wendawazimu wanaotesa na kuwauwa wapinzani na wakosoaji wao.Kitendo cha rais wa Korea ya Kusini kumtembelea rais wa Rusia ni cha kishujaa sana na cha kupongezwa na wapenda amani kote duniani.
Nikiwa mmojawapo wa wanao iunga mkono Rusia dhidi ya uhayawani wa NATO wakiongozwa na [emoji631] na kibaraka wao rais wa Ukraine.
Nimependa maneno ya kishujaa kutoka kwa rais wa Korea ya Kaskazini kuwa hatutakubali uchokozi wa USA.
Hongereni sana Rais KIM na Rais VLADIMIR.
Dunia imeona na ulimwengu umeona.View attachment 2747918
Siyo marekani tu sema dunia nzima,Marekani lazima wapagawe
Kwa taarifa yako hao wa magogoni na dodoma lao ni moja. Ndio maana nao wa magogoni wanamuunga mkono putin. Na ndio maana nchi zao wote wa magogoni na putin hukuti chombo cha habari huru chenye kurepot bila kuipendelea serikali. Kwa putin ikitokea unarepot against na anavyotaka yeye,moja kwa moja unakuwa umejikatia tiket ya kifo na hao piaHao ni watu wanaojielewa. Mijambazi imejazana magogoni na dodoma inatafuna na kuuza nchi.
Basi mtakuwa mnajadili wewe na mamaako tu mliosomea lugha za kuwajadili JAMBAZI put-in na kinyago KICHAA kim jo.Sasa wewe hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha hujui,utaweza kujadili mambo mazito kama haya?
Unajadili mambo mazito kama haya kwa ushabiki kama vile unajadili ligi ya mpira ya Uingereza!