Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

Siyo marekani tu sema dunia nzima,

Hao wawili wanaweza kuanzisha vita ya nyuklia na dunia ikasimama siyo muda wa kushabikia uvamizi huu....
Na Malawi je?

Naye sio haba ujue
 
Siyo marekani tu sema dunia nzima,

Hao wawili wanaweza kuanzisha vita ya nyuklia na dunia ikasimama siyo muda wa kushabikia uvamizi huu....
Nyi vita mnadhani ni kama mpira wa Simba na Yanga...vita si hiyo ya Crimea unataka vita gani ingine utuonyeshe mazee...
 
Back
Top Bottom