Mkuu, rais wa nchi asiyeweza kufanya kazi na Trump, hawezi kabisa kufanya kazi na rais mwingine yeyote.Vichaa wamekutana
negative si marais wote, ku deal na trump kunahitaji ustahimilivu lakin haimaanishi trump ndio rais boraMkuu, rais wa nchi asiyeweza kufanya kazi na Trump, hawezi kabisa kufanya kazi na rais mwingine yeyote.
Huo ndio ukweli.
Sababu kubwa ni kwamba Trump ni reasonable na pia anataka kile ambacho kila nchi inataka - ustawi wa taifa lake.
Mbona Lucas na Pascal hawajalamba teuzi?Trump ni kama Mama Rais wa Malawi, ukitaka teuzi, msifie
Putin anafahamu vema Trump ni mtu mmoja akisifiwa tu, anaweza kukukaribisha mpaka chumbani