Putin: "Namheshimu sana Rais wa sasa wa Marekani. Ni mtu jasiri sana."

Mkuu, rais wa nchi asiyeweza kufanya kazi na Trump, hawezi kabisa kufanya kazi na rais mwingine yeyote.

Huo ndio ukweli.

Sababu kubwa ni kwamba Trump ni reasonable na pia anataka kile ambacho kila nchi inataka - ustawi wa taifa lake.
negative si marais wote, ku deal na trump kunahitaji ustahimilivu lakin haimaanishi trump ndio rais bora
 
Hapo mawig anajazwa.

Soon atawabadilika NATO wenzie na kuwananga EU.
 
Toka alipomuambia Zelensky amevaa nguo kama hooligan na kumletea Ramaphosa TV aangalie movie kwa lazima.Nikajisemea safaria US wamepata chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…