Putin nyuma ya Syria katika mgogoro wa Syria na Uturuki

Putin nyuma ya Syria katika mgogoro wa Syria na Uturuki

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.

Screenshot_2024-11-30-16-40-15-821_com.twitter.android~2.jpg
 
Kuna minong'ono kuwa Ayatolah anataka kuwatuma Wahouthi waende kumsaidia Bashiri wakati huohuo Mashia wa Iraq wameanza kumiminika Syria teyari kumpa Sapoti Bashiri.

Tokea juzi mpaka leo teyari 277 wameshauwawa.
 
Mgogolo wasasa unaenda kumaliza kabisa uwepo w marekani apo Syria injia watakayoitumia Russia na Hezbollah kuwadhiti waasi itakuwa mbaya sana. Kelele zitapigwa japo sasa wanafuraiya wanachofanyiwa Wajeda w Assad.
 
Kila mmoja huangalia maslahi yake, nawasikitikia sana ndugu zangu hasa waafrika wanaoshabikia vita au migogoro Kwa mrengo wa kiimani ama kidini. Usije ukafikiri wanajali kuhusu dini au Imani, Kila mmoja anasimamia maslahi yake na ndio vita za Sasa zote ziko hivyo.
 
Back
Top Bottom