Kila mmoja huangalia maslahi yake, nawasikitikia sana ndugu zangu hasa waafrika wanaoshabikia vita au migogoro Kwa mrengo wa kiimani ama kidini. Usije ukafikiri wanajali kuhusu dini au Imani, Kila mmoja anasimamia maslahi yake na ndio vita za Sasa zote ziko hivyo.