Nikola24
JF-Expert Member
- Aug 26, 2024
- 222
- 517
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana.
Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni ya raia kutoka Ukraine na kadhalika, yamejaa huko BBC news.
Wa Russia wana sherekea huku Ukraine ikidai kusalitiwa na wanahofia vikwazo dhidi ya urusi vinaweza kurainishwa na kusababisha urusi kuwa na nguvu zaidi.
NATO imefanya mkutano na wote wanaonekana kutokubali mazungumzo binafsi ya simu Trump na Putin
Je unafikiri vita vitamalizika kirahisi ?