Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Yeye alitoa sharti kuwa lazima kwanza vikwazo viondolewe, ndipo atafungulia tena gesi!!je hilo takwa lake limetimizwa???
Pengine hii itafanya aje auze gas kwa bei rahisi sababu demand yake sio kubwa kama awali.
 
Naona kama watu wengi hawajaelewa kitu kwenye matamshi ya Putin,
Russia itafungulia gas hata kesho kama watapata TURBINE

Mtego upo hapo kwenye kuipata hiyo TURBINE,

Kwa mujibu wa viongozi wa Germany ni kwamba hiko kifaa kipo tayari muda tu na wao kwa upande wao wameshafanya kila kitu ili kifaa kiwe derived to Russia,wanasubiri upande wa Russia wakamilishe some process ili kifaa kitumwe kwenda Urusi

Russia kagoma muda tu kukamilisha mchakato ili TURBINE iwafikie

Kwahiyo unaweza kuona mchezo unaochezwa hapo,TURBINE itafika vipi Russia?
 

Pietro,Umemwelewa putin lakini? Anasema turbine ikifika Moscow kesho yake tu anafungulia ges. Kumbuka turbine ipo Germany tiari ikitokea Canada kwenye matengenezo.

Na usisahau kwamba amegoma kuipokea makisudi kwa sababu ya vikwazo na aliwauliza kwani turbine haipo inclusive kwene list ya goods & services chini ya vikwazo?

For your information ni kwamba anawaambia kwa mafumbo mengi sana kwamba ili niwafungulie gas kwanza lazima nipate turbine, na ili niipokee hiyo turbine yenu ni shart muondoe huo upuuzi wenu mnaouita sanctions. Vinginevyo tukutane winter
 
Kwahiyo ni kweli Vikwazo vinamuhenyesha bwana Putin ameshaanza kulialia viondolewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao Ulaya si walisema wanaacha kununua gesi ya Russia ?

Leave Politics to Politicians na ningeshauri Africa twende huko watuuzie mafuta kwa bei bwerere (tufunge mikataba long term)
 
Narudia Tena uchangiaji wa humu Ni kipimo.tosha kwamba wewe Ni taahira, mzima au wanakubomoa aka shoga
Mkinyimwa gesi mnalalamika, mkipewa gesi mnalalamika.
Kwa kukusaidia tu labda ungesema he kwanini Hao mashoga zenu EU wasikatae kabisa kutumia gesi ya Russia, ambayo kila kukicha anawatesa nayo?
 
Kweli huyu huyu ni mwendawazimu
 
Nimemuelewa Sana hata ukisoma comment yangu nimeeleza hilo suala la Turbine. Hiyo turbine ilishakua serviced Canada ikatua Germany muda tu na Chancellor wa Ujeruman Olaf Scholz aliitembelea akiwasihi warusi waje waichukue lakini walikaa kimya. Juzi wakaja na kauli mpya kwamba hawatofungua bomba mpaka vikwazo viondolewe,Leo Putin anasema turbine ikiletwa Leo kesho yake anafungua gas.

Kumbuka EU waligoma kuwekea Gas vikwazo sababu kuna nchi kama Ujerumani zinategemea Sana ya Urusi na si gas tu hata mbolea ilikua exempted from sanctions pia baadhi ya Madini muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…