TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nishati siyo karatasi!Germany juzi kapitisha Euro 65 bilion kusaidia kupunguza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishati siyo karatasi!Germany juzi kapitisha Euro 65 bilion kusaidia kupunguza
Huo mzigo tayar upo jerman na ktk hiyo picha anaonekana kansela wa ujeruman alipoenda kulishangaa na aliisisitiza urus waende kulichukua kwa sabab lipo tayar kwa matumiz.
Urusi na teknolojia yoote ya marocket na space ships hana uwezo wa kutengeneza hilo dude?
Huo mzigo tayar upo jerman na ktk hiyo picha anaonekana kansela wa ujeruman alipoenda kulishangaa na aliisisitiza urus waende kulichukua kwa sabab lipo tayar kwa matumiz.
Lkn Braza Putin km mnavyojua kuwa hapend kuvunja sheria kawaambia hawez lichukua kwa sabab west walishaweka kizuiz ktk kushea teknolojia na urus kwa hiyo ili alichukue wanalazimika kuondoa hivyo vizuiz ili wasivunje sheria ambayo wao wenyew west waliiweka.
Na ikumbukwe kuwa Canada mpaka wanaliachia hili dude ujeruman ilitishia kususa kushirikiana na Ukraine ndio jamaa wakakubal kuliachia na ugumu wote huo ulitokana na vizuiz vilivyowekwa na wao wenyew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mrusi amechemka kutengeneza hii?
Daah, hata mimi nimeshangaa mno mkuuUrusi na teknolojia yoote ya marocket na space ships hana uwezo wa kutengeneza hilo dude?
Atakuwa hajaamua tuDaah, hata mimi nimeshangaa mno mkuu
Nipo mkuuMdau upo?
Atafungua viwanda vyake nakuanza biashara ya bidhaa kwa bei nafuuuAtatoa wapi mkwanja asipouza gesi ulaya ?Na ulaya nao sasa wanajizatiti kutokutegemea kabisa gesi ya urusi. Huko miaka 20 ijayo Urusi itakuwa masikini sana.
Amka MKUU [emoji16]Ukiangalia vita ya Russia vs Ukraine utagunduwa jambo moja tu nguvu ya usalama wa Taifa. National Intelligence. Kwa sasa CIA na Mossad ndio wanamjambisha Putin na mwisho lazima watake dam yake bila kumwagika. Hiyo ndio nguvu ya Intelligence