Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Hiyo Gas siku Moja ataiuza kwa bei ya kutupwa.Kumbuka hata Ujerumani Hadi Sasa amesha fyeka more than 16% Kwenye utegemezi wa Gas Toka Urusi.UK ndio Hana time kabisa na Gas ya Urusi anaipata Toka Norway kitambo .Italy katulia zake kitambo sana alishaona njia Algeria ndio mkombozi wa Italy.Qatar anasupply LNG kwa nguvu,70% ya US LNG inaenda Ulaya.Urusi anambembeleza mchina anunue Gas.China na India wamekomba mafuta ya Russia Sasa hawataki Tena mafuta yake.Putin kifupi anachemka kugeuza bidhaa inayokupa pesa kama silaha kwa mteja wake.
 
Wanaolia tunawaona ...dunia ya sasa sio ya zama za kale watu mnakusanyika jioni kusikiliza stori za lofa mmoja akiwapa habari za dunia.............na jitihada zenu zote za kuzuia habari za urusi safari hii hali ngumu mbivu na mbichi zinaonekana
 
Demand bado ni kubwa kuliko supply hizo zako ndoto za mchana .........na huko ulaya shida sio kupata gesi..shida ni kupata gesi ya gharama nafuu itakayofanya nchi izalishe bidhaa zenye ushindani duniani, kumbuka kwa sasa mchina na mrusi wanajipatia gesi na mafuta kwa bei kitonga kabisa effect yake itaonekana muda si mrefu.....
 
Kipi hakijaeleweka hapo........turbine nayo ipo kwenye hizo sanctions sasa mrusi awasaidiaje
 
Kipi hakijaeleweka hapo........turbine nayo ipo kwenye hizo sanctions sasa mrusi awasaidiaje
Sasa wabishie mpaka hawa TASS wapambe wa Putin, Ujerumani ilishawapa go ahead wachukue hiyo turbine tangu August 11 wakakausha. Wakaja kusema hawafungui bomba mpk vikwazo viondolewe,Leo Putin analia tena anaitaka turbine

Scholz urges Russia to take turbine for Nord Stream from Germany, import gas
Business & EconomyAugust 11, 14:31
The Nord Stream gas pipeline, which supplies gas from Russia to Europe, has been used at about 20% of its maximum capacity since July 27 due to the shutdown of two gas turbines
BERLIN, August 11. /TASS/. German Chancellor Olaf Scholz has urged the Russian side to take the turbine for Nord Stream repaired in Canada and continue importing gas.

"Each can see that it is ready and may be imported," he told a press conference in Berlin on Thursday. "Take it. It is here," Scholz added.

https://www.google.com/amp/s/tass.com/economy/1492355/amp
 
Mna exempt si hamna shida na mrusi nyie??hio exemption inakuaje tena huna msuli wa kugoma kabisa?? Hayo hilo turbine ndo gesi??
Na video hii hapa chini,bisha na hii[emoji116].

Ndio maana nashangaa Putin Leo analilia turbine wakati walishaambiwa tangu August mwanzoni wakaichukue,wakadai hawataki wanataka vikwazo viondolewe ndo watoe Gas

 
Mna exempt si hamna shida na mrusi nyie??hio exemption inakuaje tena huna msuli wa kugoma kabisa?? Hayo hilo turbine ndo gesi??
Urusi inataka kuuza gesi Ulaya sababu hilo bara lina faida kwake katika hiyo biashara, kama sivyo asingetumia resorces zake kufikisha gesi Ulaya.

Ulaya wanahitaji gesi ya Urusi ndio maana pamoja na ugomvi wao na vikwazo waliweka exempt kwenye gesi.

Hapa ni suala la kutengeneza mazingira ya win win kati ya Ulaya na Urusi. Si lazima tubishane kuwa nani mshindi kwenye kila jambo.
 
For a long time plan ya US ilikuwa ni kuharibu market yote ya Russian gas ndani ya Europe ndio maana alipinga sana ujenzi wa Nord stream 2 pipeline, US ana gas kibao na anataka sana European market na anaamini anaweza supply gas kwa Europe yote, in Texas na gulf coast yote kajenga terminal kibao za LNG kusafirisha gas kwenda Europe, ni polepole lakini sitashangaa wakiweza hata kuchukua 50% ya market ya Russia kitu ambacho kitakuwa pigo kubwa sana kwa Putin, sijui kwanini Putin hakuliona hilo maana kuwakatia gas Europeans hawatamwamini tena na watatafuta alternative markets sasa
 
Wanajitekenya wenyewe ....Ulaya hawana mbadala nafuu kwa nishati aluyoouwa wakiipata Russia
 
Ukisikia akili kubwa ndo kama hizi ....you gota apprecite this chess player[emoji2956]
 
Daaah mkuu, unajua ni mabomba mangapi yanajengwa toka Russia kwenda kwa wateja wengine hivi sasa?

na una taarifa kiasi gani Russia ka make ...baada ya kuwekewa vikwazo? teba kutokea hao hao walomwekea vikwazo??

Hebu tuzichangamshe mbongo na kuyarafiti tuyaongeayo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…