Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Amedai wapi mbona unafosi kingi blaza......mmeshaambiwa gesi mtapata pale tu ikipatikana hio turbine......na hio turbine mrusi ataipokeaje wakati mlianza wenyewe kuweka vikwazo.....kila mtu ashinde mechi zake
Wanataka kuhamisha magoli[emoji1787]
 
Mkuu,

sio jambo rahisi hivyo na kwa sasa dunia haina mbadala wa fossil fuels, Hiyo Norway uisemayo imekuwa ikitoa gas muda wote ...na bado kulijengwa Nord Stream II ....kwa nini wasijenge kwenda Norway ambako ni karibu?
 
Wanaolia tunawaona ...dunia ya sasa sio ya zama za kale watu mnakusanyika jioni kusikiliza stori za lofa mmoja akiwapa habari za dunia.............na jitihada zenu zote za kuzuia habari za urusi safari hii hali ngumu mbivu na mbichi zinaonekana
Nasm Mkuu,

Hii vita inaenda kubadilisha mtazamo na hata mustakabali wa Dunia ...Juzi hapo tumeona Solomon Island wakipiga spana ma Super power[emoji1787]

Achilia mbali yule Mama wa Kisauzi ...akamchimba beat Blinken ...tena ksa yai safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Putin kajua kutupa raha
 
Naomba picha ya hilo likifaa
 
Washaweka azimio kuachana nayo soon.
Swala lililopo mezani ni sasa ambapo kazima hiyo gas.
Nchi zote EU zishatafuta solutions so hamna crisis kwao zaidi ya kupandisha bei umeme.
Maan a ni huyohuyo mrusi yuko tayari kuuza tena kwa bei mbaya baada ya kuona EU wanasolve Kimyakimya, akiwasha unaendelea kutumiwa huku hizo nchi zina plan B.
Asipowasha ni sawa vilevile EU wanaendelea na mipango yao.
Urusi kavunja mkataba kuzima hiyo,ni wake up call nchi hizo wanatafuta namna ya kuachana na gas yake kimoja.
 
Easily said than done .....

If ...and repeatedly If ...they can attain any replacement ...it is PROJED that in 2027 they can attain that

Turudi kwenye uhalisia ...sasa ...effect ya miezi mi3 tu...nazungumxia tangu Russia alipoanza kupunguza viwango..... imeleta haya yote na tishio la instability both economically and politically ...can you imagine miaka 5?[emoji848]
 
Miaka mi5 vipi wakati lengo la wanunuzi ni kuachana na hiyo gas kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
 
Na video hii hapa chini,bisha na hii[emoji116].

Ndio maana nashangaa Putin Leo analilia turbine wakati walishaambiwa tangu August mwanzoni wakaichukue,wakadai hawataki wanataka vikwazo viondolewe ndo watoe Gas

Waichukuaje wakati mmeweka vikwazo kuleni jeuri yenu,,,,,,unaingia uwanja wa mapambano unarusha ngumi mwenzio akijbu unasema sitaki upige ngumi na mkono wa kushoto.....mmeshachagua vikwazo basi pambaneni na yote....njaa haina baunsa
 

Hii mbona ni tofauti na taarifa leo asubuhi iliyotangazwa Amka na BBC!?
Nadhani hii iko biased.
 
With his current state of Mind and Health, he has nothing to loose (thus thining and behaving irrationaly)!!!
 
Ukisikia akili kubwa ndo kama hizi ....you gota apprecite this chess player[emoji2956]
Siamini kama Putin ni mpuuzi kiasi hiki, US playing long term game na ameshashinda tayari, zile terminals zinazojengwa gulf coast za kusafirisha LNG zimekula market kubwa sana ya Russia na ndio US alichokuwa anatafuta, sitaki hata kuamini kama Russians ni wapuuzi kiasi hiki...sad indeed!!!
 
Watu wanalia huku.....masarafu yao yanaporomoka mrusi ndo kwanza uchumi unakua.........hii longterm itawavua nguo hao wamagharibi kwanza vita inavyozidi kuendelea na influence yao inapotea maana watu wote sasa wanaona mbivu na mbichi...........Russia ndo kwanza anazidi kuongeza masoko huko asia kukosa soko la ulaya ni kama hamna kitu kimetokea kwake ila upande wa pili wanasaga meno
 
Sorry hamnazo kweli lipa uwone kama hamjaamka mafuta yanauzwa kwa tsh 5000 lts. USA ni noma sana.
 
Time will tell, Russia kishashindwa tayri, usicheze na US watakumaliza tuu
 
Ukiangalia vita ya Russia vs Ukraine utagunduwa jambo moja tu nguvu ya usalama wa Taifa. National Intelligence. Kwa sasa CIA na Mossad ndio wanamjambisha Putin na mwisho lazima watake dam yake bila kumwagika. Hiyo ndio nguvu ya Intelligence
 
Miaka mi5 vipi wakati lengo la wanunuzi ni kuachana na hiyo gas kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
There is no way on earth they could achieve thqt ...not even in their wildest dreams [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani ni sawa na kusema watumiaji wengine wote waache kutumia ili hao suppliers wakawauzie wao tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

on top of that ....wakawauzie kwa bei ambayo Russia anawauzia ...Mkuu kuna forces za Demand and Supply pia [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…