Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

Huo mzigo tayar upo jerman na ktk hiyo picha anaonekana kansela wa ujeruman alipoenda kulishangaa na aliisisitiza urus waende kulichukua kwa sabab lipo tayar kwa matumiz.

Lkn Braza Putin km mnavyojua kuwa hapend kuvunja sheria kawaambia hawez lichukua kwa sabab west walishaweka kizuiz ktk kushea teknolojia na urus kwa hiyo ili alichukue wanalazimika kuondoa hivyo vizuiz ili wasivunje sheria ambayo wao wenyew west waliiweka.

Na ikumbukwe kuwa Canada mpaka wanaliachia hili dude ujeruman ilitishia kususa kushirikiana na Ukraine ndio jamaa wakakubal kuliachia na ugumu wote huo ulitokana na vizuiz vilivyowekwa na wao wenyew.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Upo sahihi kabisa mkuu
 
Atatoa wapi mkwanja asipouza gesi ulaya ?Na ulaya nao sasa wanajizatiti kutokutegemea kabisa gesi ya urusi. Huko miaka 20 ijayo Urusi itakuwa masikini sana.
Atafungua viwanda vyake nakuanza biashara ya bidhaa kwa bei nafuuu
 
Ukiangalia vita ya Russia vs Ukraine utagunduwa jambo moja tu nguvu ya usalama wa Taifa. National Intelligence. Kwa sasa CIA na Mossad ndio wanamjambisha Putin na mwisho lazima watake dam yake bila kumwagika. Hiyo ndio nguvu ya Intelligence
Amka MKUU [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…