PUTIN: Urusi iko tayari kuisambazia Marekani tani mil 2.5 za Aluminium

PUTIN: Urusi iko tayari kuisambazia Marekani tani mil 2.5 za Aluminium

Vita vya Ukraine vimeleta adhari za kiuchumi dunia nzima ikiwemo na US yenyewe!
 
Ulaya baada ya kiinomoa norrd stream, Gesii wanamtegemea uturuki,ambapo mtuurukii nae anaiinunua urusi😅
Kama sasahivi kipindi cha baridi kali wanaumia sana maana gesi ni ghali sana wanategemea gesi kutoka ndani ya ulaya ambayo aitoshi!
 
Back
Top Bottom