Putin: Urusi itajibu miundombinu ya NATO ikipelekwa Finland na Sweden

Kwisha kabisa putini., alisema wakijiunga tu atafanya mashambulizi kwenye moyo wa nchi za ulaya sasa ameona haiepukiki tena kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO analeta ngojera nyengine.

Kila analosema lisifanyike likifanyika anageuka., ni mwonga sana huyu kenge putini shenz type., anawaogopa NATO kama mdudu., maaamae
 
Elimination is the next. CIA
 
Rais wa Russia anafanya mchezo wa kitoto kwenye bwawa la moto... Mwisho moto utamuunguza. Kiufupi dunia imesimama kwa umoja wao kumsimamisha Putin. Hakuna asie juwa nn anawaza putin na hakuna kiongoz yeyote yupo Tayari kuona kile Putin anafanya na kukaa kimya. Vyombo vyote vya kiusalama na Ulinzi vipo kwenye hali ya hatari kwa vita ua tatu ya dunia. Kiufupi kuna kila jitihada za ki intelligence zinatumika kumuondoa madarakani. Maana kile Russia anakifanya sio sawa ktk dunia ilio staarabika. For God sake Putin must removed and if possible they will eliminate same like Hitler
 
Finland na Sweden zimeshapiga saana jalamba kujiandaa na vita, kumbuka sweden na finland sio Ukraine. Hawa wana pesa na jalamba wamepiga vya kutosha.

NATO inaendelea kuwapa mafunzo hao, siku kikinuka tu nao hawako nyuma, wapo standby. Russi kashasoma mchezo na ameona ngoma ni nzito hii kuicheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utabiri ni mara ya 10 unauleta humu, NATO na EU ndii wapi against Russia na sio dunia. Kwa taarifa yako hao NATO na vibaraka wake hawatathubutu kumvamia Russia, na wakithubutu yatawakuta makubwa. Na hilo wanalijua fika, Russia sio Iraq.
 
Ukiamka usisahau kukojoa halaf ulale tena sawa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ndiye Mungu wa vita Duniani.
Ndiye aliyeshinda WW2, hata sasa hivi nchi zaidi ya 30 za NATO zinaiwaza nchi moja ya Russia bila majibu.
Si kweli, bila Uingereza Russia isingekuwepo,

Uingereza ndio nchi pekee ambayo ilisimama na kupambana na Napoleon, Uingereza ndio nchi pekee ambayo Hitler alishindiwa kabisa kukanyaga mguu.

Endapo Hitler asingepigana upande wa Magharibi na akina Uingereza, leo Urusi ingekuwa sehemu ya Ujerumani na Japan
 
Bila shaka unaifahamu Russia kwa kuifuatilia kwenye vyombo vya propaganda vya magharibi.
Kwa vyovyote vile kutokana na baridi kali Urusi, wajerumani wasingeweza kuwashinda warusi.
Hitler alipoivamia Urusi ndio ulikuwa mwanzo wa bendera ya Urusi kupepea Ujerumani na kugawanywa kwa jiji la Berlin.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    42.6 KB · Views: 7
" put ur friend close, ur enemy closer"

Beberu zinamsheki Putin huku zikimsogeza karibu ajaye, leo Nato ipo sebuleni kabisa na klemlin,

Wapo Finland, wapo Ukraine, na sweeden pia,

Nato sio wajinga kiasi kuna watu humu kuanza kuwa underated, wanajua kuwa urusi anazo siraha hatarishi

Sasa basi elimination time ikifika hawataki nuclear ifike west wanamalizana nae hukuhuko east

So akae kwa kutulia Putin muda wake umefika.
 
Ha ha ha!! Kabadilisha magoli, alisema wakijiunga atawapiga, amenikumbusha mikwara ya enzi zetu utotoni tulivyokua tunabadilisha badilisha.
 
Putin alichofanikisha kwenye uvamizi wa Ukraine ni pamoja na kuipa NATO Finland na Sweden kwenye sahani! Ni blunder ya karne.
Ingekuwa enzi za USSR wangemuondoa kwa palace coup, bahati yake pia amekuwa KGB kwa muda mrefu hivyo amewatia mfukoni mwake wote wale ambao wangeweza kumpa changamoto ya kumuondoa.
 
Naona ushakula marage unakuja kujamba uku uingereza alifanya nn kwenye vita ya pili zaidi ya kimbelembele hitla alikosea hesabu zake Tu alivyotoka Ufaransa alitakiwa aende uingereza kuichakaza yeye akakimbilia Poland ili aingie Rusia na yote ni sababu ya tamaa ya nishati ya Rusia kama si tamaa Leo hii uingereza naye angechakazwa vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…