Putin: Urusi itajibu miundombinu ya NATO ikipelekwa Finland na Sweden

Fact moja ni kuwa Putin alitaka kudhibiti kupanuka kwa NATO lakini nje ya Ukraine amepata kinyume kabisa na alichotarajia kupitia hii vita.

Kwanza, more neutral and buffer states zitajoin au zinatafakari kujoin NATO ( Sweeden and Finland) ni mfano halisi.

Pili, hali ya vita imeongeza sana western millitary presence and deployments in eastern flank states like Poland etc in the name of deterence. Ni kinyume na matarajio na hawezi kufanya lolote.

Kwa upeo wangu mdogo, Russia yes ana minyuklia ya kutishia lakini deep down imefanya a strategic blunder, and the price to pay itawacost sana Russia long term.
 
Pia alisema yeyote atakayemsaidia Ukraine atamuonyesha cha Mtema kuni

NATO wanasema wazi kweupe kuwa wanamsaidia Ukraine Putin kaufyata
Wanamsaidia? Wakati walisema wataprotect Ukrain wakati wote, leo hii western wote wamebaki kuwa wasemaji wa Ukrain na wapenzi watizamaji. Zelensky had anatia huruma.
NANI KAMA PUTIN
 

Attachments

  • main-qimg-7a336fb8b558f16b520b0355d916cd39.jpg
    31.1 KB · Views: 4
  • 1656848789806.jpeg
    31.1 KB · Views: 4
Kazeeka huyu, mwanzo alisema wakijiunga watakiona cha mtema kuni sasa kabadilisha gia angani sio
Nafikiri amejifunza kutokana na madhara anayoyapata kutokana na vita dhidi ya Ukrain
 
Wameshapeleka, sasa aseme
 
Kwani kabadili gia angani? mwanzon alisema hazitaweza kujiunga au imekuaje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…