Putin: Urusi itapeleka silaha za nyuklia Belarus

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic, Poland, lakini pia, nje Umoja wa Ulaya, Ukraine.

"Hakuna jambo lisilo la kawaida hapa: Marekani imekuwa ikifanya hivi kwa miongo kadhaa. Kwa muda mrefu wamekuwa wakipeleka silaha zao za mbinu za nyuklia kwenye ardhi za washirika wake,” Putin amesema katika mahojiano yaliyorushwa na televisheni ya Urusi. "Tulikubali kufanya vivyo hivyo," ameongeza, akisema aliafikiana na Minsk.
Hata hivyo, ametishia kutumia makombora ya uranium yaliyopungua nchini Ukraine ikiwa Kyiv itayapokea kutoka nchi za Magharibi, kama ilivyotajwa na afisa wa Uingereza. "Urusi, kwa kweli, ina kitu cha kujibu. Tuna mamia ya maelfu ya makombora kama hayo. Hatuyatumii kwa sasa,” amesema.
 
View attachment 2565586Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.

Hapo kwenye kusema "Putin atishia" ndio unapokosea

Putin doesn't bluff. Just understand.

Pia amesema kwamba wanapeleka na ku install Nuke weapons hapo Belarusia kama ambavyo US alivyoweka Nuke Europe. No bluff..
 
Back
Top Bottom