Puuzeni Machawa wa CCM na usalama hasa Tlaatlaah

Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
Mkuu Kamu, Kamundu ,wewe ni GT humu, ma gt hawajadili watu, wana jadili idears, simple mind ndio wanajadili watu,pia jifunze managing divesity,kwa kuwaheshimu members wengine,hata usiokubaliana nao.

Mkuu Tlaatlaah , ni mmoja wa member muhimu sana humu jukwaani,amesaidia sana kuifanya jf inapendwa na inakubalika,na wote, hata yule Dada yangu mkubwa anaingia humu,anatusoma anacheka!,

Kabla ya ujio wa Tla, kuna mashabiki wa chama fulani,walikuwa wametamalaki humu,utafikiri jf ni mali yao,mtu kujitambulisha wewe ni CCM, utanyeshewa mvua za matusi,https://www.jamiiforums.com/threads...m-kila-uchao-ni-wajinga-its-not-fair.1567550/

Lakini baada ya Tla kuingia amebalance kidogo CCM nao wanatamba humu, CCM
nao wanaheshimika.
P
 
sina cha kuongeza,
Asante sana Mwalimu P.

nakumbuka na kuishi maneno yako, mwanzoni kabisa nilipojiunga rasmi jf, nadhani ulikua unamshauri miongoni mwa wadau wa Jf waliokua wakikerwa na reactions, reply na comments zisizo na maadili au sisizo za kiungwana za baadhi ya members. Unilimconfort sana saikolojikali, na ulimueleza kwamba wengi wameachana jf kwasababu za kuchukizwa na tabia hizo pamoja na chuki binafsi, na ulimueleza bila ya kua mstahilivu na mwenye subra JF, hata wewe ungeshakua umeshaondoka JF kitambo sana.

nami natembea na kuishi jf kwenye mstari huo huo mpaka kueleweka mwalimu P.🤝
 
Mkuu Kamu, Kamundu ,wewe ni GT humu, ma gt hawajadili watu, wana jadili idears, simple mind ndio wanajadili watu,pia jifunze managing divesity,kwa kuwaheshimu members wengine,hata usiokubaliana nao.

Mkuu Tlaatlaah , ni mmoja wa member muhimu sana humu jukwaani,amesaidia sana kuifanya jf inapendwa na inakubalika,na wote, hata yule Dada yangu mkubwa anaingia humu,anatusoma anacheka!,

Kabla ya ujio wa Tla, kuna mashabiki wa chama fulani,walikuwa wametamalaki humu,utafikiri jf ni mali yao,mtu kujitambulisha wewe ni CCM, utanyeshewa mvua za matusi,https://www.jamiiforums.com/threads...m-kila-uchao-ni-wajinga-its-not-fair.1567550/

Lakini baada ya Tla kuingia amebalance kidogo CCM nao wanatamba humu, CCM
nao wanaheshimika.
P

Mimi sijui kama yeye ni CCM au la nachojua ni chawa na ni wa kupuuzwa maana topic zake ni za uongo na kujadili Chadema kila siku. Nimesema apuuzwe kwasababu ya uongo. Mimi hapa sina chama.

Pili tunajua kuna watu wapo kwenye payroll ya serikali badala ya kufanya kazi za uzalishaji wana ishia humu wakipoteza pesa za walala hoi ndiyo maana nimesema apuuzwe sio kufukuzwa
 
Mimi sijui kama yeye ni CCM au la nachojua ni chawa na ni wa kupuuzwa
Mtu akiwa chawa,lazima ama awe chawa wa mtu fulani,ama chawa wa upande fulani,kazi ya machawa ni kusifu tuu,kama yule chawa maarufu wa mama,ripoti ya Jaji Chande imetoka na kuonyesha vifo 518, hilo lichawa linampongeza mama kwa vifo hivyo!.
maana topic zake ni za uongo na kujadili Chadema kila siku. Nimesema apuuzwe kwasababu ya uongo.
Si kweli kuwa topics zote za Mkuu tlatlaa ni za uongo, japo yeye ni pro CCM but baadhi ya topics zake ni very sensible kwa maslahi ya Taifa
Mimi hapa sina chama.
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu, kama tuliwahi kukutana mahali tukasalimiana, na kama ulikuwa na upande.
Pili tunajua kuna watu wapo kwenye payroll ya serikali badala ya kufanya kazi za uzalishaji wana ishia humu wakipoteza pesa za walala hoi ndiyo maana nimesema apuuzwe sio kufukuzwa
Mtu yoyote ukiajiriwa na serikali kufanya chochote, unapotumikia hicho ulichoajiriwa, ndio kuzalisha mali kwenyewe, na sio kupoteza pesa za umma.
Posta kuna wssoma barua zote kutoka kote na wafungua viparcel vyote
TTCL, kuna wasikiliza simu zote za landlines
TCRA wasikiliza mobile phone zote, wasoma emails zote, text zote, ma groups yote
Ku wa monitor TV zote, radio zote, mitandao yote ya kijamii.
Wote hao kazi yao ni kukaa tuu na kusikiliza, ndizo ajira zao, kama lilivyo jeshi, kazi yake ni kulinda nchi, hakuna vita toka ile ya Kagera, 1979, huwezi kusema jeshi wanalipwa bure hatuna vita.

Kama vijana wamelamba ajira za kushinda jf, let it be.
P
 
Ulitakiwa udhibitishe kuwa professor Safari ndio kipimo cha watu wenye akili, hivyo huko cdm aliona hampafai. Lakini pia aliondoka CUF huko nako alikimbia nini? Nchimbi huko ccm aligoma kuwa kondoo, ccm ikabidi wamkomoe kwa kumvua uanachama.
Dah!
 
Huenda ww ni mtoto, ama masikio yako yanasikia unachopenda tu. Umesahau wakati wa Mbowe kuwa cdm iliitwa Saccos ya wachaga? Hebu kaa kimya tu boss.
Umejiunga na JF 2011 na nimejiunga na JF 2009, Kisha unaniita mtoto!? Seriously?.....unachosema au ulichojibu ndio msingi wa filosophi ya ChaDEMA ya kubagua na kubaguana. CHADEMA imejengwa kwa msingi wa kikabila (Uchaga) alafu ikaja ukanda wa kaskazini na sasa inajijenga kwa msingi wa dini, hilo halifichiki. Hizo element ni ngumu kufutika na ndicho kinaitafuna mpaka sasa.
 
Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
Mkuu usiwapuuze, wasikilize na wape critical thinking, ambayo kiuhakika hawajui hata namna ya kujibu.
Kwa vile ni binadamu watajielewa tu mwishowe.
Mimi nawahesabu kama malaya wa kulipwa, everybody takes them for a ride.
 
Umejiunga na JF 2011 na nimejiunga na JF 2009, Kisha unaniita mtoto!? Seriously?.....unachosema au ulichojibu ndio msingi wa filosophi ya ChaDEMA ya kubagua na kubaguana. CHADEMA imejengwa kwa msingi wa kikabila (Uchaga) alafu ikaja ukanda wa kaskazini na sasa inajijenga kwa msingi wa dini, hilo halifichiki. Hizo element ni ngumu kufutika na ndicho kinaitafuna mpaka sasa.
Kama unajua kusoma na kuelewa nadhani ungeona neno huenda ww ni mtoto, ama masikio yako yanachuja usichopenda kusikia. Unawalalamikia cdm kushambulia viongozi wanakotoka, wakati huo huo unajenga hoja zako kwa kutuhumu alipotokea kiongozi wa cdm wa wakati huo! Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
sina cha kuongeza,
Asante sana Mwalimu P.

nami natembea na kuishi jf kwenye mstari huo huo mpaka kueleweka mwalimu P.🤝
Kuna manazi wa chama fulani,walitamalaki humu,wakajimilikisha jf,ikawa kama ya chama chao.
ujio wako umesaidia saidia ku balance!
P
 
Back
Top Bottom