Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu Kamu, Kamundu ,wewe ni GT humu, ma gt hawajadili watu, wana jadili idears, simple mind ndio wanajadili watu,pia jifunze managing divesity,kwa kuwaheshimu members wengine,hata usiokubaliana nao.Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
sina cha kuongeza,Mkuu Kamu, Kamundu ,wewe ni GT humu, ma gt hawajadili watu, wana jadili idears, simple mind ndio wanajadili watu,pia jifunze managing divesity,kwa kuwaheshimu members wengine,hata usiokubaliana nao.
Mkuu Tlaatlaah , ni mmoja wa member muhimu sana humu jukwaani,amesaidia sana kuifanya jf inapendwa na inakubalika,na wote, hata yule Dada yangu mkubwa anaingia humu,anatusoma anacheka!,
Kabla ya ujio wa Tla, kuna mashabiki wa chama fulani,walikuwa wametamalaki humu,utafikiri jf ni mali yao,mtu kujitambulisha wewe ni CCM, utanyeshewa mvua za matusi,https://www.jamiiforums.com/threads...m-kila-uchao-ni-wajinga-its-not-fair.1567550/
Lakini baada ya Tla kuingia amebalance kidogo CCM nao wanatamba humu, CCM
nao wanaheshimika.
P
Mkuu Kamu, Kamundu ,wewe ni GT humu, ma gt hawajadili watu, wana jadili idears, simple mind ndio wanajadili watu,pia jifunze managing divesity,kwa kuwaheshimu members wengine,hata usiokubaliana nao.
Mkuu Tlaatlaah , ni mmoja wa member muhimu sana humu jukwaani,amesaidia sana kuifanya jf inapendwa na inakubalika,na wote, hata yule Dada yangu mkubwa anaingia humu,anatusoma anacheka!,
Kabla ya ujio wa Tla, kuna mashabiki wa chama fulani,walikuwa wametamalaki humu,utafikiri jf ni mali yao,mtu kujitambulisha wewe ni CCM, utanyeshewa mvua za matusi,https://www.jamiiforums.com/threads...m-kila-uchao-ni-wajinga-its-not-fair.1567550/
Lakini baada ya Tla kuingia amebalance kidogo CCM nao wanatamba humu, CCM
nao wanaheshimika.
P
Mtu akiwa chawa,lazima ama awe chawa wa mtu fulani,ama chawa wa upande fulani,kazi ya machawa ni kusifu tuu,kama yule chawa maarufu wa mama,ripoti ya Jaji Chande imetoka na kuonyesha vifo 518, hilo lichawa linampongeza mama kwa vifo hivyo!.Mimi sijui kama yeye ni CCM au la nachojua ni chawa na ni wa kupuuzwa
Si kweli kuwa topics zote za Mkuu tlatlaa ni za uongo, japo yeye ni pro CCM but baadhi ya topics zake ni very sensible kwa maslahi ya Taifamaana topic zake ni za uongo na kujadili Chadema kila siku. Nimesema apuuzwe kwasababu ya uongo.
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu, kama tuliwahi kukutana mahali tukasalimiana, na kama ulikuwa na upande.Mimi hapa sina chama.
Mtu yoyote ukiajiriwa na serikali kufanya chochote, unapotumikia hicho ulichoajiriwa, ndio kuzalisha mali kwenyewe, na sio kupoteza pesa za umma.Pili tunajua kuna watu wapo kwenye payroll ya serikali badala ya kufanya kazi za uzalishaji wana ishia humu wakipoteza pesa za walala hoi ndiyo maana nimesema apuuzwe sio kufukuzwa
Linda mgongo wakothis is useless and completely nonsense move gentleman politically speaking.
Ofcourse it's hot air to me 🐒
Dah!Ulitakiwa udhibitishe kuwa professor Safari ndio kipimo cha watu wenye akili, hivyo huko cdm aliona hampafai. Lakini pia aliondoka CUF huko nako alikimbia nini? Nchimbi huko ccm aligoma kuwa kondoo, ccm ikabidi wamkomoe kwa kumvua uanachama.
Umejiunga na JF 2011 na nimejiunga na JF 2009, Kisha unaniita mtoto!? Seriously?.....unachosema au ulichojibu ndio msingi wa filosophi ya ChaDEMA ya kubagua na kubaguana. CHADEMA imejengwa kwa msingi wa kikabila (Uchaga) alafu ikaja ukanda wa kaskazini na sasa inajijenga kwa msingi wa dini, hilo halifichiki. Hizo element ni ngumu kufutika na ndicho kinaitafuna mpaka sasa.Huenda ww ni mtoto, ama masikio yako yanasikia unachopenda tu. Umesahau wakati wa Mbowe kuwa cdm iliitwa Saccos ya wachaga? Hebu kaa kimya tu boss.
Mkuu usiwapuuze, wasikilize na wape critical thinking, ambayo kiuhakika hawajui hata namna ya kujibu.Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
Kama unajua kusoma na kuelewa nadhani ungeona neno huenda ww ni mtoto, ama masikio yako yanachuja usichopenda kusikia. Unawalalamikia cdm kushambulia viongozi wanakotoka, wakati huo huo unajenga hoja zako kwa kutuhumu alipotokea kiongozi wa cdm wa wakati huo! Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.Umejiunga na JF 2011 na nimejiunga na JF 2009, Kisha unaniita mtoto!? Seriously?.....unachosema au ulichojibu ndio msingi wa filosophi ya ChaDEMA ya kubagua na kubaguana. CHADEMA imejengwa kwa msingi wa kikabila (Uchaga) alafu ikaja ukanda wa kaskazini na sasa inajijenga kwa msingi wa dini, hilo halifichiki. Hizo element ni ngumu kufutika na ndicho kinaitafuna mpaka sasa.
Kuna manazi wa chama fulani,walitamalaki humu,wakajimilikisha jf,ikawa kama ya chama chao.sina cha kuongeza,
Asante sana Mwalimu P.
nami natembea na kuishi jf kwenye mstari huo huo mpaka kueleweka mwalimu P.🤝
shukrani sana mwalimu P.Kuna manazi wa chama fulani,walitamalaki humu,wakajimilikisha jf,ikawa kama ya chama chao.
ujio wako umesaidia saidia ku balance!
P
Bro P , ni mzee wa kupuliza kotekote msimamo wake ni kutokuwa na msimamo!shukrani sana mwalimu P.