Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Mbona huwa unapost na kukimbia, why usiingie hata saa 4 usiku ujibu maswali yetu? hatujawahi kuona umeanda hata mdahalo mmoja kupitia twitter, sisi hizi taarifa lazima tuzichukulie serious
 
Ndiyo maana no E inakaribia kujaa, no D ilikaa zaidi ya miaka 8 E hata miaka 3 haitafika tunaingia F
Duniani Kote baada ya Upigaji kinachofuatia ni kufungiana Jela Wenyewe kwa wenyewe kama enzi za Yona na Mramba

Maandishi huwa hayafutiki ndio sababu Shujaa Magufuli alikikimbizia Jeshini kile kivuko πŸ˜„
 
Duniani Kote baada ya Upigaji kinachofuatia ni kufungiana Jela Wenyewe kwa wenyewe kama enzi za Yona na Mramba

Maandishi huwa hayafutiki ndio sababu Shujaa Magufuli alikikimbizia Jeshini kile kivuko πŸ˜„
Mimi siwezi kumwamini Mwigulu hata kidogo, kwanini isije kampuni toka nje ifanye auditing?
 
Nukuu,

Stop being so greedy,and so selfish. Realize that there is more to the world than your big houses and fancy stores. People are starving and you worry about oil for your cars. Babies are dying of thirst and you search the fashion magazines for the latest styles. Nations like ours are drowning in poverty, but your people don't even hear our cries for help. You shut your ears to the voices of those who try to tell you these things. You label them radicals . You must open your hearts to the poor and downtrodden, instead of driving them further into poverty and servitude. There's not much time left. If you don't change, you're doomed.

John Perkins, Confessions of an economic Hitman
 
Tatizo yawezekana lipo awamu hii mmezidi sana kushutumiwa mjitathimini kuna shida sio bure
 
Kwa Mwanasiasa makini comment ndio rahisi zaidi kuzisoma na kuzijibu vinginevyo unaweza kukimbiwa hata na mkeo

Ukianzisha jambo jua utalimudu vinginevyo mwachie Msemaji wa Wizara hiyo ndio taaluma yake πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa mwanasiasa makini hawezi kuwa na muda wa kusoma comments zote mitandao ya kijamii
Huo muda unao ww
 
Mkuu hivi BoT watatangaza lini nafasi za kazi? nimemaliza chuo 2017 sijawahi kuona tangazo la kazi Bandarini na BoT au huko huwa hawastaafu wala kufa ama kuacha kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…