ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
Mkuu hebu tufafanulie siye akina Tomaso. Mfano serikali imekusanya 40Trilion halafu ikawaje? Kule BoT zikaenda les than hiyo 40Trilion? Au ilifika yote then BoT wakatoa hiyo 1.7Trillion??Mbona ameeleweka sana tuu!.
P
Gazeti limemnukuu CAG wa zamani Ludovick Utouh...Je Kwa nini isiwe ni mambo ya kisiasa? Yaani Kwa nini hutaki maelezo yake unalazimisha maelezo ya gazeti?
Mbona juzi Ruto kaongea na wakenya na kujibu hoja zao kupitia mtandao wa X ? Mimi nadhani ni jambo la kawaida na viongozi wengi wanafanya hivyoIt's both ways, forum ni muhimu kutokana na uwepo wa watu, hivyo watu ni muhimu sana, bila watu, hakuna forum!, na tukija kwenye watu, we as jf members we are all equal, ila tunatofautiana kwenye umuhimu, kuna watu wa kawaida, professional, politicians, viongozi na VIP's hata Wizara na mawaziri hawafani, kuna key ministries na key ministers wanao matters most, baada ya PM, Waziri top key ni MOF, akifuatiwa na MFA, ndio wanafuata mawaziri wengine, kitendo cha MOF kuwa ni member wetu humu, hii ni heshima kubwa kwetu, ametuheshimisha, tu appreciate na tu reciprocate kwa kurudishia heshima aliyoiheshimusha jf, mawaziri zaidi wa join, nape, kitila, makonda, tibaijuka, etc ni members humu, lini umewahi kuwaona?.
P
Mbona umekomaa sanaa wewe? Mbona Mhe Rais amewahi kujibu watu mitandaoni? Umeshaambiwa hata akijibu wachache bado ni jibu but naona umekomaa tuu daaahWw unaweza kujibu watu kwenye mitandao yote? Ujinu insta, ujibu Twitter na ujibu jf, unaweza kufanya hivyo?
Hapa Sasa unapinga au unakanusha?PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.
Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.
Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.
Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.
Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.
Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.
Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.
View attachment 3047891
Kinachokulinda wewe mpaka leo kuendelea kuwa kwenye nafasi hiyo niPUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Bado wewe ili tufanye tafrijaPUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

bodi ya mikopo haikuwahi kutoa tamko kwamba wanafunzi waliosoma shule binafsi hawapati mikopo ila imewapa kipaumbele wanafunzi waliosoma shule za serikali zaidi kwakua serikali inaamini kama wazazi mmeweza kusomesha watoto wenu shule binafsi mkalipa mamilioni iweje mshindwe kulipa ada ya chuo na mahitaji?Kwanza hongera kwa kazi Mheshimiwa waziri wa fedha. Angalau leo nimekuona huku. Naomba niende nje ya hii mada ya upigaji huko BOT! Hoja yangu ipo kwenye swala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Vigezo vilivyowekwa ni vya kibaguzi na vinatuumiza sisi wazazi wenye watoto wanaosoma vyuo binafsi.
Unakuwa na mtoto anasoma kozi ya kipaumbele kwenye mkopo lakini ananyimwa eti tu kwamba amesoma private tangu primary. Hivi mnajua jinsi wazazi tunavyojibana kusomesha watoto huko private?
Hiki Kigezo ni cha kibaguzi. Kama serikali inasema hela haitoshi kwanini isitoe mkopo kwa wanafunzi wote angalau upande wa pesa ya kujikimu tu ili wazazi wote tubaki tunakimbizana na ada? Au itoe mkopo wa asilimia 50 kwa wanafunzi wote bila kujali vigezo?
Liangalieni hilo Mheshimiwa! Cha kushangaza nyie viongozi watoto wenu wanapata hiyo mikopo pamoja na kwamba wamesoma shule za International. Mmeweka vigezo ili kuwadhibiti watoto wa wakulima wakati wa kwenu wananufaika!
Utakuwa Bashite wewe!bodi ya mikopo haikuwahi kutoa tamko kwamba wanafunzi waliosoma shule binafsi hawapati mikopo ila imewapa kipaumbele wanafunzi waliosoma shule za serikali zaidi kwakua serikali inaamini kama wazazi mmeweza kusomesha watoto wenu shule binafsi mkalipa mamilioni iweje mshindwe kulipa ada ya chuo na mahitaji?
Nimeangalia majukumu ya Benki Kuu kama yalivyoainishwa kwenye sheria ya uanzishwaji wake. Hilo la kutoa mikopo kwa serikali mbona silioni? Kama kuna mtu humu Jf amekiona hicho kifungu cha sheria ya BoT inayoruhusu kukopesha serikali au mtu mwingine yo yote, amsaidie Waziri kutujuza.PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.
Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.
Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.
Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.
Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.
Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.
Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.
View attachment 3047891
Anachonifurahisha Paskal kawatungia thread wanasiasa wote, yakitokeza anawapa maelezo kidogo na ku attach sifa zaoAsante sana kwa ufafanuzi huu, this is good!, well done!.
Niliwahi kushauri, dawa ya uongo ni ukweli, uongo ukisemwa bila kukanushwa hugeuka ukweli.
Nimependa jinsi ulivyojitokeza in person kujibu na kukanusha, nashauri ijengee uwezo ile idara yako ya gvt communications pale wizarani, uongo ukitolewa Nipashe, ukanushwe Nipashe huku jf iwe ni cc only.
Kiukweli I was very right about you tangu enzi zile Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! ila yale maswali yangu, hujawahigi kuyajibu, kila nikikuuliza unayakwepa na unapotea jumla!, naomba nisiyarudie usije ukapotea tena, uwepo wako humu una thamani kubwa kwa maslahi ya taifa kuliko hoja personal unazokwepa kuzijibu.
Nimefarijika sana kukuona.
P