Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Habari naomba kuuliza Kama selikari ama Nchi inaweza kukopa kwenye benk yake mpaka kiasi cha 4.5 T kwanini mnaenda kukopa nje ya nchi tena kwa kuweka resources zetu lehani kwanini msiwe mnakopa apo Bot tena bila riba.
 
Kwanini wewe Kama waziri unasindwa kuwa mbunifu kwenye swala zima la kukusanya mapato kiasi kwamba mnaongeza ongezo kwenye Kodi zilizokuwepo kwanini msiwe wabunifu kwenye kukusanya kodi mbona hii nchi inaweza kujiendesha yeyewe kwa resources ilizonazo kwanini mpaka mkakope ngoja nikupe mfano wa vyanzo vipya vya Kodi

Kuna saloon zote za kike na kiume ziwe baber shop ama spa wote hawa wanatakiwa kulipa Kodi

Migahawa hapa wauza chakula wote iwe mama lishe ama baba lishe ata wauza mishikaki ambao mmewafukuza kariakoo hawaki wanatakiwa walipe kodi na Hawa wauza supu ya pweza

Kuna hizi car wash zote hizi zibatakiwa kulipa Kodi

Binafsi natamani nipewe hiyo nafasi yako nifanye hii nchi ijitegemee yenyewe sio kila siku tunapitisha bakuri Leo Deni taifa ni 70.T Kama sijakosea vyanzo ni vingi vya kukusanya kodi nitafute nikupe muongozo ufanye kazi
 
It's both ways, forum ni muhimu kutokana na uwepo wa watu, hivyo watu ni muhimu sana, bila watu, hakuna forum!, na tukija kwenye watu, we as jf members we are all equal, ila tunatofautiana kwenye umuhimu, kuna watu wa kawaida, professional, politicians, viongozi na VIP's hata Wizara na mawaziri hawafani, kuna key ministries na key ministers wanao matters most, baada ya PM, Waziri top key ni MOF, akifuatiwa na MFA, ndio wanafuata mawaziri wengine, kitendo cha MOF kuwa ni member wetu humu, hii ni heshima kubwa kwetu, ametuheshimisha, tu appreciate na tu reciprocate kwa kurudishia heshima aliyoiheshimusha jf, mawaziri zaidi wa join, nape, kitila, makonda, tibaijuka, etc ni members humu, lini umewahi kuwaona?.
P
Mbona juzi Ruto kaongea na wakenya na kujibu hoja zao kupitia mtandao wa X ? Mimi nadhani ni jambo la kawaida na viongozi wengi wanafanya hivyo
 
Ww unaweza kujibu watu kwenye mitandao yote? Ujinu insta, ujibu Twitter na ujibu jf, unaweza kufanya hivyo?
Mbona umekomaa sanaa wewe? Mbona Mhe Rais amewahi kujibu watu mitandaoni? Umeshaambiwa hata akijibu wachache bado ni jibu but naona umekomaa tuu daaah
 
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Hapa Sasa unapinga au unakanusha?
 
Kwanini Mwigulu Nchemba usijiuzulu tu hiyo nafasi ya uwaziri wa Fedha kwa maslahi mapana ya Taifa.Maana wewe si chochote ni Kama kivuruge Fulani,sioni cha maana unachofanya pale tofauti na upigaji wa Kodi za Watanzania Maskini Wala mlo mmoja.Huna unachojua kuhusu hiyo Wizara tofauti na kubuni njia za upigaji kwa kuwaongezea utitiri wakodi watanzania Maskini.Umekuwa Waziri mzigo kwa Taifa letu.Nawewe ndiye unayemuangusha Rais wetu.
 
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Kinachokulinda wewe mpaka leo kuendelea kuwa kwenye nafasi hiyo ni
1. Uchawi wako na
2. Umri wa Kimei kumtupa mkono vinginevyo backbencher ulistahili.
 
Bado wewe ili tufanye tafrija
 
MAJIBU KWA WAZIRI DR MWIGULU NCHEMBA
(C&P)
Dr Mwigulu Nchemba, Usipeleke Lawama kwa NIPASHE. Sisi Kama wananchi ni wamiliki wa pesa zilizopo (BoT). Tunahitaji ufafanuzi wa kueleweka.

NIPASHE wamerejea. (1) ripoti za uwajibikaji 2022/23 zilizotokana na Ripoti za CAG uliofanywa na WAJIBU (2) ukaguzi wa CAG Hesabu za Serikali Kuu 2022/23.

2022/23 serikali iliidhinishiwa Sh. trilioni 41.480. Ukaguzi wa CAG Serikali Kuu 2022/23, umebaini serikali ilikusanya Sh. trilioni 41.880, ziada ya Sh. bilioni 400.

Kati ya Sh. trilioni 41.880 zilizokusanywa, Sh. trilioni 38.447 zilipokewa Mfuko Mkuu wa Hazina, tofauti ya Sh. trilioni 3.4334. Mjadala unaanzia eneo hilo.

Licha ya Serikali kukusanya trilioni 38.447 zilizopita Mfuko Mkuu, (BoT) iliipa (serikali) Sh. trilioni 40.18, hivyo (BoT) kuipa serikali Sh. trilioni 1.7 za ziada.

Kati ya Sh. trilioni 3.433 ambazo hazikupita Mfuko Mkuu wa Hazina 2022/2023, Sh. trilioni 3.197 zilipelekwa moja kwa moja kwenye miradi, ameeleza CAG.

Tofauti inatokana na Sh. trilioni 3.656 zilizopelekwa miradi kutoka wadau wa na makusanyo yaliyopelekwa Zanzibar hayapitii Mfuko Mkuu wa Hazina.

Sh. bilioni 223 zinazotokana na bakaa za makusanyo ya kodi za 2021/22 na makusanyo mengine yaliyopokewa Mfuko Mkuu wa Hazina ya nje ya makisio ya bajeti.

Jumla ya matumizi yaliyofanywa Mfuko kugharamia matumizi ya kawaida na maendeleo 2022/23 ni Sh. trilioni 39.523 bila kujumuisha Sh. bilioni 665.80..

Ni fedha zilizorejeshwa (refunds) na matumizi mengine kwenye makusanyo ya Sh. trilioni 38.447, kusababisha nakisi ya Sh. trilioni 1.742 kufikia 30/06/2023

Waziri wa Fedha, unasema Sheria ya BoT inaruhusu kutoa advances or short term loans kwa Serikali kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo hayajapata mapato.

Kwanini hiki kitu ambacho Wizara ya Fedha mnakiita mkopo (imegeuka kuwa treasury bond), ambalo ni deni la muda mrefu ambalo Serikali inalipa na riba?

Kwanini mkopo umejumuishwa katika deni la taifa? Mkopo uliotakiwa kuwa wa muda mfupi (short-term loan) kawaida muda wake ni maximum miezi (12)

Kwamba katika miezi hiyo 13 deni lote liwe limelipwa. Tangu Serikali mmechukua fedha hizo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)ni miaka miwili sasa imepita.

Lengo la mkopo ni kufidia ‘temporary budget shortfall’ serikali ikipata makusanyo irejeshe mkopo huo. Miaka miwili imepita bado pesa hizo hazijarudi BoT.

Mmehamishia kuwa long-term debt; huo ndio uchotaji wenyewe wa akiba kutoka BoT ambao unaelezwa na utafiti wa WAJIBU kutoka katika taarifa ya CAG.

Temporary shortfalls often occur in response to an unexpected event. Unexpected event gani imetokea iliyowalazimu kuchukua Sh. Trilioni 1.7 kutoka BoT?

Kama makusanyo ya Serikali yalivuka malengo, Serikali imechukua advance loan ya nini BoT? Hizi cash outflows BOT ndiyo zinaendesha hizi timu zenu za IHEFU?

Ripoti za uwajibikaji 2022/23 zilizotokana na uchambuzi wa Ripoti za CAG uliofanywa na WAJIBU umefanywa na taasisi ya WAJIBU siyo maoni ya Mr. Ludovick Utoh.

Mwigulu, usidogodeshe hoja. Watanzania wanahitaji usalama wa fedha zao, siyo porojo. Serikali inakuwa reactive badala ya kuwa proactive. Hakuna uwazi.

Tunahitaji kampuni ya ukaguzi (Auditing firm) kutoka nje kuchunguza UFISADI huu, hatuwezi kupuuza kirahisi tu kwa kuwa tu amesema Mwigulu. Huaminiki.

Kitabu cha MY LIFE, MY PURPOSE, Benjamin MKAPA anajuta kushawishiwa na kamati kuu CCM kutumia Sh230bn za EPA kufadhili kampeni za CCM 2005
 
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891

Boss ajira ngumu tukumbuke vijana wako katika hili ili walau tujikwamue na ajira za mtandaoni 👇

Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

Ubarikiwe.
 
Mkuu Mwigulu tukiachana na mashumbulizi yoote wanayoyashusha wadau hapa nikiwa kama mwana jf mwenzako ikikupendeza naomba nicheki PM muagize hata sektretari tu nna jambo langu muheshimiwa mambo sio mambo kwa upande wangu natanguliza shukkran
 
Kwanza hongera kwa kazi Mheshimiwa waziri wa fedha. Angalau leo nimekuona huku. Naomba niende nje ya hii mada ya upigaji huko BOT! Hoja yangu ipo kwenye swala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Vigezo vilivyowekwa ni vya kibaguzi na vinatuumiza sisi wazazi wenye watoto wanaosoma vyuo binafsi.

Unakuwa na mtoto anasoma kozi ya kipaumbele kwenye mkopo lakini ananyimwa eti tu kwamba amesoma private tangu primary. Hivi mnajua jinsi wazazi tunavyojibana kusomesha watoto huko private?

Hiki Kigezo ni cha kibaguzi. Kama serikali inasema hela haitoshi kwanini isitoe mkopo kwa wanafunzi wote angalau upande wa pesa ya kujikimu tu ili wazazi wote tubaki tunakimbizana na ada? Au itoe mkopo wa asilimia 50 kwa wanafunzi wote bila kujali vigezo?

Liangalieni hilo Mheshimiwa! Cha kushangaza nyie viongozi watoto wenu wanapata hiyo mikopo pamoja na kwamba wamesoma shule za International. Mmeweka vigezo ili kuwadhibiti watoto wa wakulima wakati wa kwenu wananufaika!
bodi ya mikopo haikuwahi kutoa tamko kwamba wanafunzi waliosoma shule binafsi hawapati mikopo ila imewapa kipaumbele wanafunzi waliosoma shule za serikali zaidi kwakua serikali inaamini kama wazazi mmeweza kusomesha watoto wenu shule binafsi mkalipa mamilioni iweje mshindwe kulipa ada ya chuo na mahitaji?
 
Utakuwa Bashite wewe!
 
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Nimeangalia majukumu ya Benki Kuu kama yalivyoainishwa kwenye sheria ya uanzishwaji wake. Hilo la kutoa mikopo kwa serikali mbona silioni? Kama kuna mtu humu Jf amekiona hicho kifungu cha sheria ya BoT inayoruhusu kukopesha serikali au mtu mwingine yo yote, amsaidie Waziri kutujuza.

Asante sana kwa ufafanuzi huu, this is good!, well done!.

Niliwahi kushauri, dawa ya uongo ni ukweli, uongo ukisemwa bila kukanushwa hugeuka ukweli.

Nimependa jinsi ulivyojitokeza in person kujibu na kukanusha, nashauri ijengee uwezo ile idara yako ya gvt communications pale wizarani, uongo ukitolewa Nipashe, ukanushwe Nipashe huku jf iwe ni cc only.
Kiukweli I was very right about you tangu enzi zile Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! ila yale maswali yangu, hujawahigi kuyajibu, kila nikikuuliza unayakwepa na unapotea jumla!, naomba nisiyarudie usije ukapotea tena, uwepo wako humu una thamani kubwa kwa maslahi ya taifa kuliko hoja personal unazokwepa kuzijibu.
Nimefarijika sana kukuona.
P
Anachonifurahisha Paskal kawatungia thread wanasiasa wote, yakitokeza anawapa maelezo kidogo na ku attach sifa zao

Hongera kaka
 
Back
Top Bottom