Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

Tunajua ni utani tu wewe mwehu uchaguliwe na nani? Hata ujikombe vipi kwa wakubwa utaishia tu kujikomba na kulipwa posho ya kujikomba ambayo ni sh 1500 kwa kila mkombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushakuwa deo kisandu
 
 

Attachments

  • IMG_5563.jpeg
    128.8 KB · Views: 2
Najua kwenye kuboresha daftari la wapiga kura hawatakuacha, hizi ndio tenda zinakusaidiaga sana kijana.
 
Haukufanikiwa kububujikwa na machozi this time mkuu?
 
Yaani kuna Watu ni Majuha hapa duniani...!!
 
Acha uongo na uzushi wako wa kujifanya unanifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…