Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Machozi hayajabubujika tena?Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama John akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nipo shambani ambako hata ukibubujikwa na machozi yanakauka yenyewe tu kwa sababu jua ni kali sana.Machozi hayajabubujika tena?
HAUTEULIKINdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama John akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
johnthebaptist umesema/umeandika uongo, unaitwa huku.Machozi hayajabubujika tena?
Hongera kwa kuteuliwa uchawa unalipa aiseeNdugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.View attachment 3381166
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wasalimie hapo MLOWO, kazi iendelee.Nipo shambani ambako hata ukibubujikwa na machozi yanakauka yenyewe tu kwa sababu jua ni kali sana.
Magufuli alisingiziwa mambo mengi sana, inasikitisha sana.Hujateuliwa hata kupewa baiskeli za SSH?
Ndugu zangu Watanzania,