Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Watu wanakusanifu tu, uteuliwe na nani sasa? we endelea kurusha mate na kububujikwa na machozi
 
Sisi tunaamini umeteuliwa, labda jamiichek waje waseme tofauti.

Hongera sana
Sijateuliwa bado. Na kama ningekuwa nimeteuliwa ungepewa taarifa na mdogo wako ephen_ ili mshone kabisa sare kwa ajili ya kunisindikiza katika kura kiapo. Kwa hakika mpaka muda huu ephen na wewe mngekuwa mnabubujikwa na machozi ya furaha tu.
 
Dah ila wewe jamaa wahi mirembe .Iddi Amini Mama pamoja na ukiazi wake hawezi kuteua mwehu kama wewe
 
Sijateuliwa bado. Na kama ningekuwa nimeteuliwa ungepewa taarifa na mdogo wako ephen_ ili mshone kabisa sare kwa ajili ya kunisindikiza katika kura kiapo. Kwa hakika mpaka muda huu ephen na wewe mngekuwa mnabubujikwa na machozi ya furaha tu.
Sasa itakuaje Luka, nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa wewe kuteuliwa, alafu unakanisha? Machozi yangu yameenda bure kweli Lucas! Naomba fidia siyo kwa mbubujiko ule. Jua kali sana kupoteza chozi tafadhali fidia Luka.
 
sasa kwa yale majina ..bwana lucas umeona ungeweza toboa kweli...wewe level zako ni tisheti kofia na buku 5....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…