Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

Badili strategy yako ya uchawa mkuu, JF huku wapo chawa wenzio hawapo watu wa connection. Endelea na uchawa ipo siku utatoboa mkuu.

Nakuunga mkono kwenye uchawa wako huu, wakupe hata UDAS utulize fuvu.
 
🤣
Watakuwa wamesahau kukutangaza😎
 
Nipo shambani ambako hata ukibubujikwa na machozi yanakauka yenyewe tu kwa sababu jua ni kali sana.
We chomwa na jua huko mashambani wakati unaowaandikia magazeti marefu ya kusifu wanafisadi nchi huku wakiwa ndani ya viyoyozi...umesahau huyo mamako aliwaambia mawaziri wake wanakula sana hadi wanavimbiwa?!.
 
Kungekuwa na nafasi za MACHOKO ungeteuliwa
 
Yani machozi yangu ya furaha yameenda bure. Nimelia sana kwa furaha niliposoma umeteuliwa.

Nishashona mpaka suti ya CCM niwe chawa wako namba moja. Kumbe bado kapuku.
 
😹😹😹 Ila sis basi msameheni kaka Luca ni maisha yanamchanganya..!!
 
Hivi kweli kabisa Lucas uliamini kwamba watu watamwamini Jo? 😂😂😂
 
Ni Rais gani huyo Mwendawazimu akuteue Failure na Nut kama Wewe Tanzania hii? Acha kujipa UMUHIMU ambao hauna.
 
Tukuulize kazi ya uchawa unaendelea nayo
 
Mama itabidi akukumbuke
 
Watu wanakusanifu Tu ni mjinga gani anaweza akuteue wewe!!!
Sisi tulikuwa tunakucheka Tu kumbe mwenyewe unajiona bongeee la kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…