Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza kusikilizwa
Kesi hizo zinasikilizwa kwenye Mahakama ya wilaya Mkuranga, mkoani Pwani ambapo chama hicho kinawakilishwa na Wakili Mwanaisha Mndeme
Source: Jambo TV