LGE2024 Pwani: Kesi za uchaguzi wa serikali ya mtaa kusikilizwa leo Machi 12, 2025

LGE2024 Pwani: Kesi za uchaguzi wa serikali ya mtaa kusikilizwa leo Machi 12, 2025

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza kusikilizwa

Kesi hizo zinasikilizwa kwenye Mahakama ya wilaya Mkuranga, mkoani Pwani ambapo chama hicho kinawakilishwa na Wakili Mwanaisha Mndeme
1741778393820.png

Source: Jambo TV
 
Sema Kuna namna Hawa ACT wanafanya, big up sana kwao
 
Back
Top Bottom