the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa katika mafunzo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mafia mkoani Pwani leo tarehe 6 Februari, 2025.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga katika Halmashauri za Wilaya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, Mji wa Korogwe, Mji wa Handeni na Jiji la Tanga unatarajia kuanzia tarehe 13 Februari hadi 19 Februari, 2025 na vituo vya kuandikisha Wapiga Kura vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 Asubuhi na kufungwa saa 12:00 Jioni kwa muda wa siku Saba
Soma pia: Pre GE2025 - Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025