Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Ndo akina msuya hawa??
Hujawaho kwenda kwenu..miaka na miaka..baba yenu anawaita njoo nyumbana niongee nanyi..mnajifanya busy..mnachofanya ni kumchukua mama yenu na kukaa nae mjin na baba anabaki kijijin akiwa hana msaada wowote huku AMEINAMISHA nafsi yake kwa sababu ya matendo yenu...linakuja kutokea tatizo kubwa pasipo kureconcile na baba yenu mnajibeba mnaenda.........
 
Daaah rest in paradise 😢... Kuna mwaka boss wangu walibadilishana gari na rafikiake sasa tukapanga safari kwenda tanga usiku kupita njia ya bagamoyo sasa wakati tunakaribia mto ruvu mbele kuna scania ikajaa upande wangu kila nikimpigia full light+honi wapi ikabidi nitoke nje ya barabara daah yule fala akapita na side mirror yani ilibaki kidogo atuue pale pale tukashauriana na mshua tukageuza kumfukuzia tukamkuta sijui ndo mizani pale wanapaita daraja la makofia kumbe dereva limelewa kampa gari turnboy aendeshe aisee uwo moto tulio uswasha alijuta hata sahau maisha yake yote.
 
Marehemu hasemwi vibaya mbele ya kadamnasi. Huo ndio uungwana wa kiafrika.
 
Ni nani atakayeishi milele? Siri ya maisha ya mwanadamu ipo kwa Mungu. Unafahamu kama kuna wababa/wamama wa hovyo?
 
Utii wa sheria (za barabarani) bila shurti ni suala la muhimu sana katika kupunguza matatizo ndani ya jamii. Ona sasa katika ajali hii kuna watoto wameachwa yatima na wategemezi wengine kama vile wazee wakikosa wa kuwapa pesa za matumizi.
 
Kweli duniani hakuna siri
 
Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mchepuko naye atakufa ataziacha. Ni kawaida hamna jipya.
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Masuala binafsi haya.
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Kifo hakichagui boss, hata angempa mumewe zote angekufa. Usione kama ni malipo ya alichokifanya.
 
Sasa funguka code hapa chini basi ili tujue tunalia au tunashehereka😳😳
 

Attachments

  • _20230803_195303.JPG
    138.3 KB · Views: 10
Taifa limepoteza Vichwa sana kwenye hii ajali😭😭😭
 

Attachments

  • IMG-20230803-WA0020.jpg
    248.7 KB · Views: 9
  • IMG-20230803-WA0002.jpg
    84.9 KB · Views: 7
  • IMG-20230803-WA0013.jpg
    57.9 KB · Views: 4
  • IMG-20230803-WA0014.jpg
    44.2 KB · Views: 9
Daaa msiba mzito sana huo,hizi safari za usiku tuwe nazo makini sana kwa kweli
 
Mara nyingi epuka sana kusafiri usiku kama inawezekana. Bongo watu wanaostahili kuitwa madereva ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…