naomba leo wana jf woote mliopo maeneo hayo, mjipange mabarabarani na muonapo tu gari la green star mlipungie mikono kwa nguvu sana.... napita mitaa hiyo leo... Kongosho nikipita mwadui nikuletee nini? Erickb52 nikipita kwenu je? sweetlady... kuna chochote unahitaji nikuletee? BAGAH ulivyofika shinyanga nani alikupokea? uncle Bishanga ndizi za gairo zitakufaa? charminglady usimame barabarani ukiwa na sato wangu, Madame B nikutafutie replacement ya kipisi? platozoom ile four figure uliyoniomba ipo
Smiling Saint mie machenza tu yatanitosha.....:tonguez:naomba leo wana jf woote mliopo maeneo hayo, mjipange mabarabarani na muonapo tu gari la green star mlipungie mikono kwa nguvu sana.... napita mitaa hiyo leo... Kongosho nikipita mwadui nikuletee nini? Erickb52 nikipita kwenu je? sweetlady... kuna chochote unahitaji nikuletee? BAGAH ulivyofika shinyanga nani alikupokea? uncle Bishanga ndizi za gairo zitakufaa? charminglady usimame barabarani ukiwa na sato wangu, Madame B nikutafutie replacement ya kipisi? platozoom ile four figure uliyoniomba ipo
Heheheheee sema nimdunge faster?we we we katoto... hiyo ni mikoa ninayopitia... angalia naanzia wapi na kumalizia wapi....
halafu hiyo "mamito" unataka ban??
Wapita Dodoma saa ngapi..naweza kupatikana, Kwanza hiyo four figure ni kile kitabu cha hesabu? kama ni hicho kaa nacho sitaki kusikia neno namba. Ila kama ni four figure mtu akaribie
we we we katoto... hiyo ni mikoa ninayopitia... angalia naanzia wapi na kumalizia wapi....
halafu hiyo "mamito" unataka ban?
Dah.....hata hivyo mie nipo kondoa huku urangini, so nisingeweza kukuona! Haya salamu zao ugenini....
Kondoa sehemu gani..Bondeni, chemchem, borisa, munguri ama?
Dah.....hata hivyo mie nipo kondoa huku urangini, so nisingeweza kukuona! Haya salamu zao ugenini....
Hee! Ni kweli Kipipi uko Kondoa?
Namie nipo Kondoa pia .
Yuko Kwapakacha, hata hivyo nadhani kesho ataenda Masange.
Plato mambo? Mi niko Bicha hapa tangu jana, unapafahamu ?
Kondoa sehemu gani..Bondeni, chemchem, borisa, munguri ama?