Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
RPC wa mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase amezuia shughuli za Chadema za uzinduzi wa vizimba iliyokuwa ifanywe na Katibu Mkuu John Mnyika asubuhi ya leo Jumamosi, Juni 13, 2026.
RPC huyo alipoulizwa alisema amezuia kwasababu Chadema haijamuandikia barua ya kutaka kufanya shughuli hiyo.
Madai hayo ya Morcase hayapo kwenye sheria yoyote wala kanuni zozote zilizopo kwenye ardhi ya Tanzania.