Pwani: Utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, umekithiri

Pwani: Utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, umekithiri

Sio kila matukio yanayusu siasa mengine Ni uhalifu tu wa kawaida wa binadamu duniani kote
Kwa hapa bongo commonly ni siasa. Mara chache sana Majambazi kuua watu. Wao huchukua mali na kusepa. ukiona yameua basi kuna jambo la ziada zaidi ya mali na fedha.
 
Minaki pale ule msitu si mchezo..
Tulikua tunatiaga misuli pemben pemben ya huo msitu kwenye vichaka,
Wanngu wa milambo dom wanaelewa..
Unapiga Physics chini ya mstu unajiona kama Newton Vile. Huku umeshiba wali magarage🤣🤣🤣
 
Sasa huo ndio ugaidi sasa
Halafu haujulikani
Duniani kuna maajabu sana
Yaani watu wanatupwa kama panya tu
Na hakuna habari zozote
 
Wana siasa watakwambia Rais ndio kauwa.

R.I.P JPM.
 
Takwimu zitunzwe na wale walio na weledi wa Kitanzania,sii takuwa miujiza.
Wauawaji hawatunzagi takwimu. Kama wanataka kutoa ujumbe kwamba watu waache kuchonga, msg sent. Lakini kuchonga hatuachi
 
Sio kila matukio yanayusu siasa mengine Ni uhalifu tu wa kawaida wa binadamu duniani kote
Hayo ya ujambazi yanajulikana, na kama yameua hayabebagi maiti, wao ni kutoroka haraka na salama. Na wanajitahidivkuondoka na mzigo, sio mtu. Kama wanaondoka na mtu basi si inajulikana walishambulia au kuvamia sehemu na wameondoka na fulani, na huyo fulani anatafutwa. Ikipatikana maiti ni kujaribu kuitambua tu, kazi kwisha. Hii siyo ujambazi. Ni siasa.
 
Milambo mlikuwa wachumba...wajanja wote tulikuwa makongoro na lumumba...teh teh teh
😅😅😅..hahaha hauko serious,..
Lile dom lipo kama afghanstan mlango unangaliana na pori sa yeyote hamza anaingia,,..
Nyi mko jikon kule kbsa.
 
Back
Top Bottom