LGE2024Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea
Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,
Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli?
Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa kidato cha kwanza imeonekana wamejiandikisha baada ya jana majina kubandikwa watoto wanashangaa kuwepo kwa majina yao na wote wameandikishwa umwri wa 30+
Kwenda kujiandikisha Kisha kupiga kura huku ukijua wazi ccm huimba kura ni matumizi mabaya ya muda pia Mimi Imani yangu ya mababu inaniambia ni dhambi kubwa

Hata usipoenda, mwisho wa siku msimamia uchaguzi atasema waliopiga kura uchaguzi wa mwaka huu kuna ongezeko la asilimia deshi deshi ili kuonyesha wananchi wameelewa vyema elimu ya uraia.
Waziri Mohamed Mchengerwa wa Ofisi ya Rais TAMISEMI atakataa, ila wananchi muendelee kufichua madudu ya mchakato huu kuelejea November 2024 uchaguzi wa TAMISEMI
Habari hizi za kiuchunguzi ziendelee kuletwa kwa njia ya,citizen journalism maana magazeti, vituo vya televisheni, radio wanaogopa TCRA kuvifungia kama gazeti la Mwananchi digital lilivyokula kibano bila kukata rufaa baada ya vitisho.