LGE2024 Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,

Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli?

Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa kidato cha kwanza imeonekana wamejiandikisha baada ya jana majina kubandikwa watoto wanashangaa kuwepo kwa majina yao na wote wameandikishwa umwri wa 30+

Pia soma:
 
View attachment 3132381
Watu milioni thelasini na Moja ni pamoha na hao,halafu mniambie nikapige kura!!sipigi ng'oo
 
Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,

Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli?

Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa kidato cha kwanza imeonekana wamejiandikisha baada ya jana majina kubandikwa watoto wanashangaa kuwepo kwa majina yao na wote wameandikishwa umwri wa 30+

View attachment 3132381
Kama haya mambo yanaweza kufanyika hapa Jijini Dar huko Nyehunge, Nyanchabakene na Mtego wa noti hali ikoje?
Vv
 
Waziri Mohamed Mchengerwa wa Ofisi ya Rais TAMISEMI atakataa, ila wananchi muendelee kufichua madudu ya mchakato huu kuelejea November 2024 uchaguzi wa TAMISEMI

Habari hizi za kiuchunguzi ziendelee kuletwa kwa njia ya,citizen journalism maana magazeti, vituo vya televisheni, radio wanaogopa TCRA kuvifungia kama gazeti la Mwananchi digital lilivyokula kibano bila kukata rufaa baada ya vitisho.
 
Back
Top Bottom