LGE2024 Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu angalau badi ungezoom pale mtoto anapoonesha jina lake na miaka tushuhudie maana haya mambo hayaishii hapa yanaenda hafi UN
 
Mimi ninachojua kuna shule za kata na wala si mtaa, endapo hii ni ya mjini. Labda kama hapo shuleni ilikuwa ni kituo cha kuandikisha mitaa yote.
 
Hivi Mbowe yuko wapi mbona yuko kimya hatolei tamko hayo yanayoendelea?
 
Hivi Mbowe yuko wapi mbona yuko kimya hatolei tamko hayo yanayoendelea?
 
Hivi hizi akili wanazitoaga wapi? Na wanafanya hivyo kumfaidisha nani?
 

Kazi ya MKWE mwenye KIFUA KIPANA.
 
Wanafunzi wameonekana kushangaa baada ya kukuta majina yao yakiwa na umri wa miaka 33 kwenye orodha ya wapiga kura iliyobandikwa kwa ajili ya uhakiki kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.

Walipofika kwenye maeneo yao kufanya uhakiki, waligundua kuwa taarifa zao zilikuwa zimebandikwa kulikuwa na mapungufu, ikiwemo umri wao, jambo lililowafanya kushangazwa na kujiulizwa maswali juu ya umri wao.
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • KCYahfFbeaXGcXmB.mp4
    13.6 MB
  • 5818726400637650514.jpg
    101.5 KB · Views: 3
Nji hii bila kupasuana huu usengerema hauwezi kwisha.
 
Hivi wazazi wa hawa watoto wako wapi? Au wanaogopa kutekwa?
 
hao watoto si unawaona hapo lakini nao wanashangaa majina yao
Labda wanaangalia majina lakini jina la mwisho litakuwa la wazazi wao sio wao watoto. wanashangaa majina ya ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…