LGE2024 Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tumekubali nchi iendeshe kwa uwongo na viongozi wanabariki hili..
Hii itatugharimu mno kimaadili mno mno.
 
Jamani eeh, watu wa ccm hata kama kuiba mnaiba, ibeni kwa akili japo kidogo.
 
Ccm wana vituko sana.
Sijui kwanini hawaiamini.
Kama ni kweli kuna huu ujinga kwanini wana taka uchaguzi? Si wakae hadi watakapo choka kuliko kutumia rasilimali zetu hovyo na kutupotezea muda kwa matokeo waliyo nayo mikononi?
Wakifanya hivyo itaonekana ni nchi ya kidikteta.
 
Aibu sana kwa serikali ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…