LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Ccm wana vituko sana.Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,
Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli?
Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa kidato cha kwanza imeonekana wamejiandikisha baada ya jana majina kubandikwa watoto wanashangaa kuwepo kwa majina yao na wote wameandikishwa umwri wa 30+
Pia soma:
Sijui kwanini hawaiamini.
Kama ni kweli kuna huu ujinga kwanini wana taka uchaguzi? Si wakae hadi watakapo choka kuliko kutumia rasilimali zetu hovyo na kutupotezea muda kwa matokeo waliyo nayo mikononi?