Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,750 Sep 25, 2010 #1 Bado inaonyesha kuwa sasa mambo ni magumu kwa CCM na wasindikizaji.
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Sep 25, 2010 #2 subiri wanaomteteA mzinzi waje
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Sep 25, 2010 #3 ..ni kwa ajili ya kura za Uraisi wa Muungano Zanzibar. ..kwa upande wa Zenj, Prof.Lipumba atang'ara kuliko wenzake.
..ni kwa ajili ya kura za Uraisi wa Muungano Zanzibar. ..kwa upande wa Zenj, Prof.Lipumba atang'ara kuliko wenzake.
D Dedii Member Joined Aug 16, 2010 Posts 76 Reaction score 7 Sep 25, 2010 #4 kwa zinjibar sawa lkn kwa bara piga garagaza ua mzinzi lazima achukuwe inji.