Pweza wa Kichina Kugundua kama Mwenza anacheat

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Kampuni moja ya madawa nchini China (Tianjin Xiali) iko iko njiani kuanza kuzalisha kwa wingi Octopus (Pweza) atakayeweza kuonyesha kama mwanandoa mmoja wapo ameenda kinyuma cha maadili ya ndoa yake, Msemaji wa kampuni hiyo ametabanisha kuwa watatua vinasaba vya Paul the octopus aliweza tabiri mechi za kombe la dunia. Nguo za ndani zitawekwa kwenye tanki atakalofungiwa Octopus huyo na kama akienda kwenye chupi ya mama basi huyo mama atakuwa anacheat sana kwenye ndoa, sanjali na kama akienda kwa ya baba basi watu wote kwenye ndoa hiyo.

Waafrika wengi wamepinga sana utafiti huo wa wachina, wengi wao waliohojiwa wamesema iwapo pweza huyo atakuwa akiaibisha wanaume basi maisha yake yatakuwa hatarini.

Wanandoa je mnachukuliaje taarifa hizi?

Habari kwa hisani ya watu wa Marekani mashariti na vigezo kuzingatiwa
 
Hawa wachina sasa hatari kweli kweli ..Na Hisani ya marekani naona inaendelea kuvuka mipaka
 
Kampuni moja ya madawa nchini China (Tianjin Xiali) iko iko njiani kuanza kuzalisha kwa wingi Octopus (Pweza) atakayeweza kuonyesha kama mwanandoa mmoja wapo ameenda kinyuma cha maadili ya ndoa yake, Msemaji wa kampuni hiyo ametabanisha kuwa watatua vinasaba vya Paul the octopus aliweza tabiri mechi za kombe la dunia. Nguo za ndani zitawekwa kwenye tanki atakalofungiwa Octopus huyo na kama akienda kwenye chupi ya mama basi huyo mama atakuwa anacheat sana kwenye ndoa, sanjali na kama akienda kwa ya baba basi watu wote kwenye ndoa hiyo.

Waafrika wengi wamepinga sana utafiti huo wa wachina, wengi wao waliohojiwa wamesema iwapo pweza huyo atakuwa akiaibisha wanaume basi maisha yake yatakuwa hatarini.

Wanandoa je mnachukuliaje taarifa hizi?

Habari kwa hisani ya watu wa Marekani mashariti na vigezo kuzingatiwa

Aah Masanilo acha masihara bana.
Hebu tupe source ya hizi habari na Waafrika wa nchi gani waliopinga utafiti huo?
 
hahahhahahahhahahahaha hha masanilo chai sana hahhahhhahahahahah umenivunja mbavu zangu kadadek
 
Wakati wa kuweka hizo chupi wanandoa wote watakuwepo? Asiye mwaminifu atahakikisha utaburi unaenda kwa yule mwaminifu at any cost
 
Watu wote wanakuwepo na mashahidi wa kutosha mazee!

mambo mengine bwana, sasa nikishajua masanilo ana cheat itanisaidia nini tena? mana hata bila huyo pweza najua masanilo ana cheat.
 
HAhahahahah Nyama Yao unatumia software gani kujua hilo?
 
Watu wote wanakuwepo na mashahidi wa kutosha mazee!

Masanilo.....you are trading a very dangerous fact here...as far as infidelity is concerned.......WOZA si imeshapita actually nasikia na Pweza Paul amestaafu kwa maslahi ya UMMA...LOL
 
Hata bila pweza wa kichina, naturally unatakiwa kujua tu kwa kutumia pweza wako mwenyewe. Mbona ule wimbo siku hizi 'famous' unasema umelala doro... ukichunguza kidogo tu utabaibi.

By the way, supu ya pweza ni dawa nzuri sana ya matatizo kama haya. Hakikisha unainywa kila siku uone kama mwenzio atakuwa na wazo la ku-cheat!
 
Inanidhuru sana hii supu wala siifagilii! Huwa inanifanya nachoka sana siku ya pili nikienda kazini
 
Duu itakuwa balaa maana huyo pweza anaweza nusa ya mama na akakimbilia ya baba vilevile !! mmmhhhh
 
Hata bila pweza wa kichina, naturally unatakiwa kujua tu kwa kutumia pweza wako mwenyewe. Mbona ule wimbo siku hizi 'famous' unasema umelala doro... ukichunguza kidogo tu utabaibi.

By the way, supu ya pweza ni dawa nzuri sana ya matatizo kama haya. Hakikisha unainywa kila siku uone kama mwenzio atakuwa na wazo la ku-cheat!

Huku upcounrty hatuipati bwana
 
Back
Top Bottom