Pythagoras tajiri alie kufa kisa kuogopa maharage

Pythagoras tajiri alie kufa kisa kuogopa maharage

Sio alikuwa anayaogopa maharage la hasha bali alikuwa na sects ambayo walikuwa hawali maharage.

Mbali na imani hiyo pia Pythagoras aliamini number zote zinagawanyika kikamili-
yaan 6 ÷ 3 unapata 2.

Sasa Siku moja yupo na wanafunzi wake kwenye mtumbwi mara dogo mmoja akagundua kuna baathi ya number hazigawanyiki kamwe yaani utagawanya mpaka unakufa na bado usifike mwisho-

Mfano 22 ÷ 7 unapata 3.141592............

Kwa kuwa ugunduzi huu ulikuwa unaenda kinyume na dogma yao ilibidi wamuuwe kwa kumzamisha kwenye maji. Na uwepo wa hizi irrational number ukafanywa siri kubwa sana.
 
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical powerView attachment 3136220
TaTEPA
 
Alikufa kizembe sana anaogopa maharagwe wakat sisi tunakichezea sana kiharage
 
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical powerView attachment 3136220

Wale jamaa wa mifumo huru ila ya siri, wanamtukuza sana huyu jamaa. Kumbe alikuwa anaogopa maharage? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Anavibwia kabisa anamung'unya kama kibogoyo, then maharage anaogopa kweli, hivi anajua kiporo cha wali maharage huyu kilivyo kitamu😀😀🙌
Hawezi kujua utamu wake..

Ile sauti itakayo kwa mmiliki wa kiharage, wakati kiharage kinamung'unywa, ni burudani tosha kwa mmung'unyaji kuliko guitar la santana ama diblo dibala..

Ukute mmung'unywaji anafika KILELENI kibo, vile anavibrate kama nokia 3310( thate thrii ten) ni burudani kubwa sana kwetu wamung'unyaji.
 
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu

Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba

Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C

By magical powerView attachment 3136220

Uko Sahihi Kuhusu Jinsi Alivyokamatwa na Jinsi alivyouliwa..

Japo Story Ni more of legend than true kuna Kitu kidogo umepitiwa au aliyetoa Story amepotia Nacho ni Phobia..

Pythagoras hakuwa na Phobia ya Maharage nitaelezea baadaye Kwanini hakutaka kuyasogelea Maharage wala kuyala..

Mimi Kama Mwanafunzi wa Numerology kwa Miaka zaidi ya 8 Na spirituality personel namtambua Pythagoras kama Baba wa Numerology na Ocult science of Number..

Yeye ndo aliyeleta Ideal philosophy ya Kila Number Ina nguvu ndani yake "The power of Number"..

Pia ikumbukwe kuwa (Ukisoma vitanu vingi vya Pythagoras) kutokana na Elimu yake kuwa kubwa Iliyofanana na Ma "Guru" na Ma "Monks".

walishindwa Kumuita Hayo majina kwa sababu Wenye imani zao hizo hawakutaka Mgiriki kumuita majina matukufu kama hayo japo walimuheshimu kwa elimu yake..

Kwahyo Pythagoras Ndo akaanzisha Jina lake Tukufu kwa Watu wasio wa Upande wa Monks na Gurus Ila wana Elimu na Akili..
Philosopher..Ambalo ni Philo au Phile Means "Love" and Sophia Means Wisdom or Knowledge"...

Turudi sasa Kwenye Maharage

Pythagoras Kama Mmoja wa Spiritual Teacher na wafuasi wake waliamini kuwa maharage yana special properties na were linked to the cycle of life and death (The Cycle of samsara) au Kwa lugha nyingine Reincarnation

They thought beans contained the essence of the soul and were associated with rebirth.

Na kwakuwa waliamini Hivyo Pythagoreans often avoided eating beans. so kwa hiyo aversion was part of their broader dietary restrictions that encouraged vegetarianism and a diet focused on purity na moderation.

Beans pia Zilitumika symbolically in their teachings. Kwa mfano they believed that consuming beans could lead to the mixing of souls, which was considered undesirable.

Kwahyo aliheshimu Kwa sababu alijua hapo ndo kuna Life and Dealth hutokea na Souls zinakuwepo hapo Zikisubiri Reincarnation so aliogopa Kuzuia Process ya Reincarnation
 
Back
Top Bottom